Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
..
Hela ya kutosha kuendesha maisha ninayo Mzee, mapenzi ni sehemu ya maishaBro Tafuta elaa wew
unachokitaka wenzako hatukitaki
Hamna wenye chura! Wote tuna English figure 😏😏Mimi nataka mmoja mwenye chura
Sema wote mna kambale🤣🤣🤣🤣 kambale anakuwaga mkubwa sehemu moja kuliko zingne zote😄😄Hamna wenye chura! Wote tuna English figure 😏😏
Duh mkuu 😀😀😀😀 anakua mkubwa sehemu gani? Watu mna maneno jamani😀😀😀😀Sema wote mna kambale🤣🤣🤣🤣 kambale anakuwaga mkubwa sehemu moja kuliko zingne zote😄😄
Mkuu chunguza kambale akiwa mbichi au hai kabla hajakaangwa😆😆😆Duh mkuu 😀😀😀😀 anakua mkubwa sehemu gani? Watu mna maneno jamani😀😀😀😀
Kha haya bana mkuu😀😀Mkuu chunguza kambale akiwa mbichi au hai kabla hajakaangwa😆😆😆
Mkuu nasikia huko Msoga leo watu walivaa mask kama zote🙆♀️🙆♀️🙆♀️, tuchukue tahadhari, huyu as development concerns atatumaliza😆😆😆Kha haya bana mkuu😀😀
Tuchukue tahadhari tu mkuu😒Mkuu nasikia huko Msoga leo watu walivaa mask kama zote🙆♀️🙆♀️🙆♀️, tuchukue tahadhari, huyu as development concerns atatumaliza😆😆😆
sasa nikwambie mpenzi hayo ndio yatakutoa kwenye mstari usiwekeze ety ni sehemu ya maisha you will lost my friendHela ya kutosha kuendesha maisha ninayo Mzee, mapenzi ni sehemu ya maisha
Hapo tunpigwa oneni china kule videm vyao havina matako mkubwa lkn wako na akili kuzid she za bongo uku