Habar wakuu
Leo ni siku ya Valentine naona watu wengi haswa watu Wa Instagram wameivalia njuga siku ya Leo.
Wanadai ni siku ya kufulaia mapendo kwa wapendwa wao..wanasema ni Upendo Wa dhat kufuraia siku ya Leo wakiwa na wapenz wao / wake zao
Mimi nimekua tofaut kidogo siku ya Leo naiona ni siku yakawaida tuu pia nikisikia valentine ,naona kama wanazungumzia upuuzi tuu
Naona kama ni kukosa shughuli za kufanya ,mtu kuhangaika na sherehe za kijinga kama hizi...
Naona hizi sherehe tuwaachie wanawake ,,washerekee wao na watoto zao ...sio MWANAUME unahangaika et kumfanyia saplaizi wanamke wako....ujinga mtupu
Ni sawasawa na kuniambia habari za Happy birthday, yaani tuvitu twa kijinga kijinga unaona mtu anakumbia nitumie Happy birthday yangu... pumbafff kabisa!
Habar wakuu
Leo ni siku ya Valentine naona watu wengi haswa watu Wa Instagram wameivalia njuga siku ya Leo.
Wanadai ni siku ya kufulaia mapendo kwa wapendwa wao..wanasema ni Upendo Wa dhat kufuraia siku ya Leo wakiwa na wapenz wao / wake zao
Mimi nimekua tofaut kidogo siku ya Leo naiona ni siku yakawaida tuu pia nikisikia valentine ,naona kama wanazungumzia upuuzi tuu
Naona kama ni kukosa shughuli za kufanya ,mtu kuhangaika na sherehe za kijinga kama hizi...
Naona hizi sherehe tuwaachie wanawake ,,washerekee wao na watoto zao ...sio MWANAUME unahangaika et kumfanyia saplaizi wanamke wako....ujinga mtupu
Tuko sawa mkuuNi sawasawa na kuniambia habari za Happy birthday, yaani tuvitu twa kijinga kijinga unaona mtu anakumbia nitumie Happy birthday yangu... pumbafff kabisa!
Mkuu hivyo vidonge ni kwaajili ya watu kama nyie .. Mulio changanyikiwa na taflija za kipuuzichukua ushauri huu, vidonge vya stress huwa vipo madukani. vyenyewe ukishatumia mashetani kama haya yanakuachia kidogo ili upate kurudi katika vile vimelea vyako vya kawaida na kuvistawisha. angalizo: matumizi makubwa ya vidonge vya stress in hatari kwa afya yako. tumia maji mengi na pata mapumziko ya saa 8 au Zaidi. ni mimi dokta Jamii.
wanaume wa dar ndo sikukuu yao hii, mimi kwangu ni ujinga mtupu, nimedamka nipo zangu kanisani kushiriki misa ya jumatano ya majivu.Habar wakuu
Leo ni siku ya Valentine naona watu wengi haswa watu Wa Instagram wameivalia njuga siku ya Leo.
Wanadai ni siku ya kufulaia mapendo kwa wapendwa wao..wanasema ni Upendo Wa dhat kufuraia siku ya Leo wakiwa na wapenz wao / wake zao
Mimi nimekua tofaut kidogo siku ya Leo naiona ni siku yakawaida tuu pia nikisikia valentine ,naona kama wanazungumzia upuuzi tuu
Naona kama ni kukosa shughuli za kufanya ,mtu kuhangaika na sherehe za kijinga kama hizi...
Naona hizi sherehe tuwaachie wanawake ,,washerekee wao na watoto zao ...sio MWANAUME unahangaika et kumfanyia saplaizi wanamke wako....ujinga mtupu
Ungekuwa na wa kusherekea nae ingekuwa ni sikukuu ya kijinga pia?Kwa kuwa sina wa kusherehekea nae Valentine, Mimi leo ni j5 ya majivu tu, lakini ukifikiri kwa kina hizi sikukuu ni ujinga tu
Mkuu ..Mimi pia ni mwanaume Wa dar.....lakini Sina upuuzi Wa sikukuu kama ya Leo.... Haya mambo sio dar pekee..wanaume wa dar ndo sikukuu yao hii, mimi kwangu ni ujinga mtupu, nimedamka nipo zangu kanisani kushiriki misa ya jumatano ya majivu.