Bugals Edward
Member
- Jan 13, 2018
- 37
- 7
Chama cha mapinduzi na watu wake kilivaa rangi nyekundu, na walipenda kuonyesha dole gumba, nilikaa nikajiuliza hivi hawa ni CHADEMA wanaotaka kuwa Wanaccm au,,,,,
Nilishangaa sana kuona hata yanga nao wanavaa jezi ya simba, yaan nyekundu,,,, na walipendeza hata kumzidi Simba,,,
Wakanishitua leo ni siku ya wapendanao,,,, ohhh kwa maana hiyo upinzani valentine unakuwa chama tawala,,,,
Na Yanga huziacha kijani,,,,
Wao wapendanao si mke na mume, hata vitabu vitakatifu vinasema mpende adui yako,,,,,,."hakika nawambieni andiko limeshatimia, lisemalo wapendeni wanao wachukia, mpende adui yako, ndie jirani yako, kama unavyojipenda"
Ndugu zangu ni bora siku moja inayokuleta pamoja na kufanya mambo kwa umoja, kuliko siku kumi za malumbano,,,
SAMAHANI HANI KWENU WAKUU,,,,
Mr EAGLE,,,,,,,, learn from eagle, possess eagle vision, then visualize your vision