Vaileth

Ila jamani mi nashauri tu, unakuta mtu kaweka Avator ya mtu ambaye ana heshima kubwa katika ama jamii, taifa na hata kimataifa lakini comment zake sasa, aaah hapana, tuwatendee haki hao watu aisee, tunawadhalilisha hata kama hili ni jukwaa huru!
Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…