Vaginal fungi infection.

kuingiza vidole ndani ndo si huharibu mambo kabisa ama?recent research does not support vaginal douching.
 
Actually kwa kutumia hiyo dettol you are moer likely kupata fungus endapo itakua inaingia kenye sehemu za ndani kwani zinaua normal flora.... be as natural as you can be, angalia pia maji unayotumia nk

ushauri wangu ni kumwona daktari wa wanwake ambaye mbia ni mtaalam wa magonjwa ya ngozi...s
o
metime watu wengine wanapata fungal infections huko chini kutokana na matatizo mengine ya ndani

nadhani mtafute daktari kama kamugisha (wanawake - MNH), mtafute dakta ntabaguzi 0754264317 huwa anakuwa tumaini hosp... ni mtaalam wa medicine lakini amesaidua sana baadhi ya wagonjwa wa HIV waliokuwa na chronic fungal infections... naomba hapa uelewe kwamba sisemi wewe una HIV, hapana, ila msaada wake mkubwa ulikua kweny hizo clinics, muhimbili, kcmc na private

it is curable
 
lakni pia uwe unajisafisha kwa maji safi na kuingiza vidole vyako viwili kutoa ute ute wa ndani ambao ni mchafu wakati mwingine ni kutojisafisha vizuri kwa ndani.......

kuna namna na kuingiza vidole ndani zaidi yaweza kuwa hatari zaidi.... sometimes hata issues za figo na kibofu huchangia kuongezeka kwa hatari ya vaginal infection
 
lakni pia uwe unajisafisha kwa maji safi na kuingiza vidole vyako viwili kutoa ute ute wa ndani ambao ni mchafu wakati mwingine ni kutojisafisha vizuri kwa ndani.......

samahan mkuu,me kuna dr.alinishaur kamwe nicingize vidole kwny u.k.e wakat najisafisha. ndo nilifuata nkapóna mbna we upo kinyume?
 
pole sana dada, kwanza naomba unijibu haya maswali thn ntakushauri. je huwa unajikaushia nn utokapo haja ndogo? pili utokapo haja kubwa pia huwa unajikaushia nini. kama vp nijibu hata kwa pm....
 
pole sana dada, kwanza naomba unijibu haya maswali thn ntakushauri. je huwa unajikaushia nn utokapo haja ndogo? pili utokapo haja kubwa pia huwa unajikaushia nini. kama vp nijibu hata kwa pm....

Good questions... nijuavyo mimi hata aina ya toilet papers huchangia matatizo ya huko chini, hasa zile zinachoacha vichembechembe
 
Back
Top Bottom