Vacation zinatengeneza special bond kwa couples

In a year jitahidi umtoe Vacation demu wako / wife ukampige miti Dubai ukishindwa hata Serengeti . Kuna special bond mtazidi kuitengeneza
Last time kuna X wangu alitolewa hizo vacation akiwa huko akawa anataka kuongea na Mimi muda wote ..

Mbaya zaidi akawa anatafutia stimu za tendo kupitia Mimi.

Haya Mambo hayana Formula Mkuu.
 
Heeee wanataka nn tena ?
 
In a year jitahidi umtoe Vacation demu wako / wife ukampige miti Dubai ukishindwa hata Serengeti . Kuna special bond mtazidi kuitengeneza
😁😁 Watu wanapeleka kupigia miti na vacation ila vikinuka mnaachana bond linavunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…