Vacation itinerary

vipi....hapo Lamadi ile Serengeti nini sijui......bado ipo....?

Ni Serengeti stop Over mamito... ipo sana ila huduma zake siku hizi zimepwaya sana!!! Ndabaka inawafunika mbayaaaaaa!!!!!!
 
ni Ndabaka mkuu na sio ndapaka... afu pia ni njia ya kuelekea mza ukitoka bunda na kabla ya kufika lamadi....

Hapo kweli nimechapia maana P na B kwnye keyboard ziko mbali kishenzi. No need to tell me iko wapi hata juzi tumepapita saa 1 usiku tukiwa tunaenda kumzika mtu huko shay
 
Labeka....kulikon bandugu? Mwaniita...

Preta kaniambia uko mbuzi mawe, aksema kama nabisha nikuulize. ndo maana nikakuita, hivi kumbe we ni jirani yangu!
 
Ni Serengeti stop Over mamito... ipo sana ila huduma zake siku hizi zimepwaya sana!!! Ndabaka inawafunika mbayaaaaaa!!!!!!

Inaonekaana we mtu ya kipande hiyo. Nipe address nikusalimie next week.
 
Inaonekaana we mtu ya kipande hiyo. Nipe address nikusalimie next week.

Me si mtu wa huko bali huwa napita pita nikiwa kwenye safari za kikazi... N- way ukikaribia kuja pande hizi nipm...
 
Me si mtu wa huko bali huwa napita pita nikiwa kwenye safari za kikazi... N- way ukikaribia kuja pande hizi nipm...

Ngoja ni kun PM saa hii. Maana na move kwa ratiba. Nina siku 18 tu za kula raha mnji, then na cam bak
 
Labeka....kulikon bandugu? Mwaniita...

nimeambiwa una mwaliko wako Bilila Lodge..... chardams kakualika.......nipitie hapa kilima fedha.....namalizia kutundika mizinga ya nyuki......
 
Last edited by a moderator:
Hahahah we nenda tu kajilie vyako miye nko huku sing'isi nakamua ng'ombe na kufagia samadi sidhan ka ntamaliza mwezi huu...
nimeambiwa una mwaliko wako Bilila Lodge..... chardams kakualika.......nipitie hapa kilima fedha.....namalizia kutundika mizinga ya nyuki......
 
Last edited by a moderator:
nimeambiwa una mwaliko wako Bilila Lodge..... chardams kakualika.......nipitie hapa kilima fedha.....namalizia kutundika mizinga ya nyuki......
Jamani muwahi maana sijawahi fika Bilila Lodge niseje potea mwenzenu huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…