Vacancies at TRA

qualifications/award mimi nisoma PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGEMENT katika list yao haipo najaza vipi hapa. msaada please
 
qualifications/award mimi nisoma PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGEMENT katika list yao haipo najaza vipi hapa. msaada please

Kama kuna inayoendana na course yako jaza, kama hakuna subiri nafasi zingine wakitaja unazoendana nazo
 
inayoendana na course yangu ipo SUPPLIES OFFICER ila kwenye qualification/award ukibofya zinatokea course mbalimbali then unaselect course yako ila procurement haipo hapo
 
Hawa TRA wanachokifanya ili watu wengi wasi appy ni ku disturb system yao. Hii ni mbinu ambayo wanatumia nowadays.
 
Leo nimewapigia kwenye number zao inaonyesha call center agent hajui chochote kuhusu oline application nilipoona anababaika sana nikaamua kukata sim. nasubiri msaada w wadau
 
Mimi nimefanikisha leo, japo ilisumbua sana. Kwa kutumia simu ni shida sana, ila ukitumia pc kunakuwa na uafadhali.
 
Tra wana utaratibu mbovu sana wa kuajiri, wametutesa sana mwaka jana pale diamond jubilee, sina hamu nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom