V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,120
8,140
Wakuu,
With due respect ta all of you.

Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns that always crack my mind, and I really get puzzled! Ni kuhusu hizi HIV-Testing Kits as regards to HIV diagnosis in human bodies. Napenda sana kujifunza vitu mbali mbali, hususani issues zinazo-impact afya zetu wanadamu.

To whoever mwenye uelewa, naomba mnieleweshe (na kwa faida ya wengine pia) kwenye mambo yafuatayo ili kujifunza:

a) Je vifaa vyote vya kupimia HIV, vinatumia ''ANTIBODIES'' pekee ili kudetect HIV infections ktk mwili? Yaani is 'ANTIBODIES'' only the determinant/agent for confirmation of HIV presence in the body?

b) If YES to the (a) above, why hivyo vifaa haviwezi kudetect the HIV directly? i.e. why hivyo vipimo (HIV-Testing) haviwezi kutrace (to isolate) the Virus itself, rather than basing on the antibodies? OR ni kwa sababu kwamba all virus-related infections can be only detected by basing on antibodies only?

c) Uelewa wangu mdogo ni kwamba Human Beings tuna natural Immunity Systems kwenye miili yetu, and the primary role of such natural immunity ni kuproduce 'antibodies' to fight-off a disease infection(s) that enters the body. The strength of such Immunity varies from person to person, due to nutrition factors; life style; etc. Pia nafahamu kwamba wanadamu tuna a lot of viruses and bacteria kwenye miili yetu, though hatuugui. Mfano, niliwahi kusoma a medical Article kwamba almost kila mtu ana bacteria wa TB mwilini mwake, whenever your body Immunity becomes weak, ndo hapo unaanza kuugua TB. So all viruses or bacterias or whatever harm in the body... they do primarily depend on vulnerability of the body Immunity. Nadhania hivyo.

Now the question is: Immunity huwa inaproduce izo 'antibodies' to ALL disease infectios that enter the body?? i.e. does the Immunity System react and produce antibodies to ANY/ALL infections? OR kuna baadhi tu ya diseases/infections ambazo ndo Immunity ina-react na kutoa antibodies??

d) If the body Immunity reacts and/or produces the 'antibodies' to ANY/ALL disease infections, do the 'antibodies' differ from infection to infection? Yaani mfano: antibodies for Ebola infections are different from antibodies for HIV infections??

e) If NO to the (d) above, then it means that the allegedly produced 'antibodies' are of ONE TYPE (ONE STRUCTURE) WITH SAME FEATURES, WITH SAME PARTICLES, for ANY/ALL disease infections in the body. Now... WHY is HIV-diagnosis being based on 'antibodies' only, while other disease infections are also an avenue for the 'same antibodies' in the body???

(f) Pia kuna hizi medical terminologies: CD4 COUNT; na ''VIRAL LOAD''.
Navyoelewa mimi, viral load ni kile kiasi cha viruses mwilini, yani kiwango cha virusi kwenye damu. SWALI: Hicho kipimo cha viral load, je kinapima na kutoa matokeo ya kiwango cha virusi wote kwa ujumla (bila kujali aina ya kirusi) waliopo kwenye damu? ama kinapima na kutoa matokeo in isolation kwa kila aina ya kirusi kwenye damu??

Karibuni waungwana. Let's double-click our folders of thinking and share knowledge.

I humbly submit, and thanks in advance for reading.
N.B: I stand to be corrected!
 
am not a doctor or medical laboratory neither but I know this like this,
when the body is attacked by diseases the first thing to be attacked is antibodies
kwa kuwa hii ni askari wa mwili wako kujikinga na maadui,so maadui wakisha shambulia mara nyingi level ya askari mwilini [antibodies]huongezeka so kwenye upimaji wakiona askari wameongezeka wanajua kuwa kuna invasion ya ugonjwa mwilini
na ndio maana mfano kuna aina ya vipimio kwa mfano cappilus mara nyingi inasoma positive hata kwa maradhi sugu mfano kisonono,kaswende na mengine/
determinant atleast

Binafsi huwa sio mfuatiliaji mzuri wa mambo kama haya..nitaufuatilia huu Uzi nipate kujua.

haya mpendwa. Karibu tujifunze, ni muhimu kujifunza na kujua namna body systems zetu zinavyo-operate regarding infections. Napenda sana kufanya follow-ups kwenye mambo kama haya ya afya
 
am not a doctor or medical laboratory neither but I know this like this,
when the body is attacked by diseases the first thing to be attacked is antibodies
kwa kuwa hii ni askari wa mwili wako kujikinga na maadui,so maadui wakisha shambulia mara nyingi level ya askari mwilini [antibodies]huongezeka so kwenye upimaji wakiona askari wameongezeka wanajua kuwa kuna invasion ya ugonjwa mwilini

Thanks brother for the nice inputs. But still I have a question as per your insights:

In RED: So hao askari mwili (antibodies), ni wa aina moja? Ama kila invasion (infection/ugonjwa) inakuwa resisted kwa askari wa aina yake? i.e. kila infection inapata antibodies tofauti, ama ni one type of antibodies for any/all invasion(s) ?
 
Kaveli

kipimo kimetengenezwa kwa ajiri ya kuchunguza antibodies [amount]because they know the real amount, wanapima mkojo kujua kama kuna mimba lkn wanachoangalia ni u.hormones,na follicle stimulating hormone.

kansa mfano ya damu wanaangalia morphology ya cells ktk damu ambazo mara nyingi huwa zimevimba kwenye ini vivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Thanks brother for the nice inputs. But still I have a question as per your insights:

In RED: So hao askari mwili (antibodies), ni wa aina moja? Ama kila invasion (infection/ugonjwa) inakuwa resisted kwa askari wa aina yake? i.e. kila infection inapata antibodies tofauti, ama ni one type of antibodies for any/all invasion(s) ?
[/QUO
kipimo kimetengenezwa kwa ajiri ya kuchunguza antibodies [amount]because they know the real amount,
wanapima mkojo kujua kama kuna mimba lkn wanachoangalia ni u.hormones,na follicle stimulating hormone
kansa mfano ya damu wanaangalia morphology ya cells ktk damu ambazo mara nyingi huwa zimevimba kwenye ini vivyo hivyo
ni hivyo
 
haya mpendwa. Karibu tujifunze, ni muhimu kujifunza na kujua namna body systems zetu zinavyo-operate regarding infections. Napenda sana kufanya follow-ups kwenye mambo kama haya ya afya

'There is no way to test for HIV'/Hakuna njia yoyote inayoweza kupima HIV.HIV jina ambalo watu wawili tu wamekaa na kuamua kulipachika kundi fulani la 'genetic materials' jina hilo.Mpaka sasa tunapozungumza,HIV hakuwahi kunyofolewa kutoka kwenye damu ya mtu yeyote yule(HIV has never been isolate/purified,I can rather say that HIV is a belief but not fact).

Kwa kuwa HIV hakuwahi kuonekana hivyo huwezi kupata kipimo chake,na ndio maana HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo.Baadhi ya hali hizo ni malaria,TB,Hepatitis,IV drug use,kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50,pia mimba huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo.Ndio maana nasema 'there is no way to test for HIV'.

Kitu kimoja ambacho watu wanaokumbatia HIV/AIDS hypothesis kinawapa jeuri ni kuhusu vipimo vyao feki ku detect antibodies ambazo wao wanasema ni specific kwa HIV.Lakini hawawezi kuelezea kwanini/kwa vipi hizo antibodies haziwezi kumkinga mtu dhidi ya huyo HIV(feki).

The basic fact in science/ukweli wa msingi kabisa usiopingika wa kisayansi:Kama mwili wako umetoa antibodies/kinga dhidi ya kirusi kwa mfano,basi mwili wako utakuwa tayari umeokolewa kutoka kwenye madhara ya kirusi hicho,huu ukweli hata mtoto wa shule ya msingi anaujua.Hakuna kirusi yoyote duniani ambaye amesababisha ugonjwa baada ya antibodies/kinga kujitokeza,virusi husababisha ugonjwa kabla ya kinga na si baada ya kinga,hii ndio sayansi ya kweli.Lakini ukweli huu wa kisayansi umekiukwa kabisa katika suala hili la HIV/AIDS.

Uki test antibody +ve maana yake tayari mwili umeshatoa kinga dhini ya vijidudu/virusi.Hivyo,huwezi kupata ugonjwa baada ya kinga kujitokeza kwa kuwa kinga hu neutralize virusi.Lakini kwenye HIV/AIDS unapo test HIV+ baada ya kushangilia na kupongezwa,unalia na kuitiwa washauri nasaha.Why would everybody get AIDS after antibody immunity?No body ever explained it,I say no body.NIH,CDC,WHO ca never explain it.

Antibodies is the basis of all vaccines,so why you are now in trouble after testing antibody +ve to HIV?

Pia kuhusu CD4 count na viral load.Mambo yote haya ni nonsence kama utaujua ukweli kuhusu HIV.Kwa kuwa HIV(feki) hasababishi AIDS,hivyo dhana nzima ya CD4 count na viral load inakosa maana.HIV(feki) haui CD4 cells kama inavyofahamika na wengi.Ndio maana kuna watu rundo mtaani hawatumii ARVs na wame test HIV+ zaidi ya miaka 10 iliyopita na wana CD4 za kutosha.

Unajua kama fikra za watu ziko kiimani zaidi,hata kama wataona kwa macho yao mambo yanayopingana na fikra zao si rahisi kukubalina nayo,sanasana watasema ni uchawi tu.Hizi fikra walizonazo wengi kuhusu suala la HIV/AIDS ni zao la kitengo cha MIND CONTROL cha inteligensia ya USA.Kitengo hiki pia ndicho kinachofanya wengi wajue kwamba Global warming husababishwa na hewa ya ukaa ilihali sivyo,wamarekani waliwahi kufika mwezini wakati si kweli,democracy is real but is not,bangi haramu wakati sivyo hivyo,cancer haina tiba wakati tiba ipo,na mambo mengine lukuki.

Mleta mada nakushukuru sana kwa kutuchokoza.
 
Mkuu Deception , thanks sana kaka kwa maelezo yako ya kina ktk lugha rahisi kabsa msomaji yeyote kuweza kuelewa. Possibly kuna 'knowlegde' fulani inakuwa strategically & deliberately hidden by mainstream to the public. Maelezo yako nimeyaelewa vzuri sana, na nimezidi kupata maswali zaidi ili kujifunza:

1) Kuhusu antibodies: Do Antibodies differ from infection to infection (mfano antibodies wa Maralia ni tofauti na antibodies wa TB au Kaswende)?? Ama ni ONE TYPE of antibodies for ANY/ALL infection?

(2) Umeeleza kwamba INFECTION huweza kuleta ugonjwa (kuanza kuugua) KABLA ya kinga/antibodies kujitokeza mwilini, NOT AFTER kinga/antibodies kujitokeza mwilini. SWALI: So mtu anapougua let say Maralia au TB au Kaswende, ni kwa sababu antibodies/kinga zinakuwa bado hazijajitokeza? Ama labda hizi antibodies ni kwaajili tu ya Viral infections, na sio Bacterial infections?

(3) Kwa maelezo yako, unasema kwamba HIV ni feki, that means it is a hoax, it does NOT exist! However, wangunduzi wa uyu HIV wanasema kwamba HIV ni kirusi aina/type ya 'retrovirus'. Please, waweza kutueleza chochote kuhusu hao 'retrovirus' hususani wanapoingia mwilini? Ama pia RETROVIRUS is a hoax??

(4) Umeeleza kwamba "HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo. Baadhi ya hali hizo ni malaria, TB, Hepatitis, IV drug use, kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50, pia MIMBA huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo"
SWALI: So mtu anaeugua MARALIA akienda kupima HIV, ni LAZIMA/MUST vipimo vitasoma HIV+?? Je why wenye mimba hutest HIV negative?? Sio kila mwenye mimba anatest HIV+.

Kuwachokoza kwa lengo la kujifunza kaka. Natamani na wataalamu wengine zaidi waje hapa!
 
mkuu ninavyojuwa kwenye alere kama una malaria kali inadetect positve
 
Last edited by a moderator:
'There is no way to test for HIV'/Hakuna njia yoyote inayoweza kupima HIV.HIV jina ambalo watu wawili tu wamekaa na kuamua kulipachika kundi fulani la 'genetic materials' jina hilo.Mpaka sasa tunapozungumza,HIV hakuwahi kunyofolewa kutoka kwenye damu ya mtu yeyote yule(HIV has never been isolate/purified,I can rather say that HIV is a belief but not fact).

Kwa kuwa HIV hakuwahi kuonekana hivyo huwezi kupata kipimo chake,na ndio maana HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo.Baadhi ya hali hizo ni malaria,TB,Hepatitis,IV drug use,kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50,pia mimba huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo.Ndio maana nasema 'there is no way to test for HIV'.

Kitu kimoja ambacho watu wanaokumbatia HIV/AIDS hypothesis kinawapa jeuri ni kuhusu vipimo vyao feki ku detect antibodies ambazo wao wanasema ni specific kwa HIV.Lakini hawawezi kuelezea kwanini/kwa vipi hizo antibodies haziwezi kumkinga mtu dhidi ya huyo HIV(feki).

The basic fact in science/ukweli wa msingi kabisa usiopingika wa kisayansi:Kama mwili wako umetoa antibodies/kinga dhidi ya kirusi kwa mfano,basi mwili wako utakuwa tayari umeokolewa kutoka kwenye madhara ya kirusi hicho,huu ukweli hata mtoto wa shule ya msingi anaujua.Hakuna kirusi yoyote duniani ambaye amesababisha ugonjwa baada ya antibodies/kinga kujitokeza,virusi husababisha ugonjwa kabla ya kinga na si baada ya kinga,hii ndio sayansi ya kweli.Lakini ukweli huu wa kisayansi umekiukwa kabisa katika suala hili la HIV/AIDS.

Uki test antibody +ve maana yake tayari mwili umeshatoa kinga dhini ya vijidudu/virusi.Hivyo,huwezi kupata ugonjwa baada ya kinga kujitokeza kwa kuwa kinga hu neutralize virusi.Lakini kwenye HIV/AIDS unapo test HIV+ baada ya kushangilia na kupongezwa,unalia na kuitiwa washauri nasaha.Why would everybody get AIDS after antibody immunity?No body ever explained it,I say no body.NIH,CDC,WHO ca never explain it.

Antibodies is the basis of all vaccines,so why you are now in trouble after testing antibody +ve to HIV?

Pia kuhusu CD4 count na viral load.Mambo yote haya ni nonsence kama utaujua ukweli kuhusu HIV.Kwa kuwa HIV(feki) hasababishi AIDS,hivyo dhana nzima ya CD4 count na viral load inakosa maana.HIV(feki) haui CD4 cells kama inavyofahamika na wengi.Ndio maana kuna watu rundo mtaani hawatumii ARVs na wame test HIV+ zaidi ya miaka 10 iliyopita na wana CD4 za kutosha.

Unajua kama fikra za watu ziko kiimani zaidi,hata kama wataona kwa macho yao mambo yanayopingana na fikra zao si rahisi kukubalina nayo,sanasana watasema ni uchawi tu.Hizi fikra walizonazo wengi kuhusu suala la HIV/AIDS ni zao la kitengo cha MIND CONTROL cha inteligensia ya USA.Kitengo hiki pia ndicho kinachofanya wengi wajue kwamba Global warming husababishwa na hewa ya ukaa ilihali sivyo,wamarekani waliwahi kufika mwezini wakati si kweli,democracy is real but is not,bangi haramu wakati sivyo hivyo,cancer haina tiba wakati tiba ipo,na mambo mengine lukuki.

Mleta mada nakushukuru sana kwa kutuchokoza.

Naomba kupingana na wewe juu ya haya maelezo yako. Nitajibu hoja za mtoa mada kwa mtiririko ule ule aliouliza maswali yake.

A) test za hiv ziko aina nyingi, ila antibody test ndio rahisi zaidi kutumia na the most accessible. Kipimo hiki hupima antibodies ambazo mwili hutengeneza specific to the hiv virus. The only scenario ambayo antibody test inakuwa sio conclusive ni pale ambapo utampima mtoto chini ya miezi 18 waliozaliwa na mama wenye maambukizi ya HIV sababu kipindi cha mimba na wakati wa unyonyeshaji antibodies hizi hupita na kufikia mfumo wa damu wa mtoto hivyo ukipima wakati huu unaweza kupata a false positive test maana antibodies ulizopima ni zile zilizotoka kwa mama. The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu. Tunaifanya sana test hii kwa watoto wanapofikisha wiki 4-6,na kurudia tena wiki sita baada ya kuacha kunyonya. Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv

B) jibu la hapa lipo hapo (A). Kuongezea tu ni kwamba mbali na tests, pia history na clinical presentation pia husaidia katika diagnosis

C) ni kweli kwamba mtu unapopata maambukizi ya aina yoyote mwili hupambana nayo kwa njia mbalimbali, mojawapo ni production ya antibodies. Ila fahamu kuwa antibodies pia zipo aina nyingi. Zile ambazo za kwanza kabisa kutengenezwa upatapo tu maambukizi mapya zinaitwa IgM. Hizi lengo Lake ni ku-contain infection ila haziko specific. Ni kama kuleta mgambo ktk uwanja wa vita. With time, mwili husoma tabia na nature ya mdudu aliyeingia na kuanza kutengeneza specific antibodies ambazo zinauwezo wa ku clear infection, zinaitwa IgG. Tatizo kwa HIV ni kuwa kirusi hiki kina tabia ya kujibadili haraka sana kuepuka hii defence ya mwili. Hivyo effectiveness ya IgG ni ndogo. Pia ugumu mwingine ni kwamba virusi huishi ndani ya chembe hai nyeupe, na pia vina tabia ya ku-takeover uwezo wa seli hizi kufanya kazi (through integration of viral "DNA" into host cell), na pia huziua mwishowe.

D) jibu hapa ni kama nilivyoeleza juu. They differ, in class, type and function. Even antibodies of the same class or type also differ depending on aina ya mdudu. Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV.

E) reference ifanywe hapo juu

F) viral load ya HIV ni specific to HIV virus, haiinclude virusi ama wadudu wa aina nyingine.

Kwa kuongezea tu, virus vya HIV pia hutofautiona kwa types na jinsi gani vina uwezo wa kusababisha dalili za ugonjwa haraka (hii nakupa homework mtoa mada, urudi na bandiko lake hapa). So, pamoja na umadhubuti wa kinga ya mwili ya mtu, pia aina ya virus huchangia katika ku-determine mda gani utapita kabla mtu hajaonyesha dalili na pia progression of disease. (hapa haimaanishi kwamba ukipata maambukizi mapya ni lazima upate aina moja ya virus. Inategemea tu huyo anayekupa atakupa aina ngapi, ndio maana hata wawili wenye maambukizi bado tunashauri watumie kinga ili wasibadilishane virus wapya ambayo labda wako more "virulent")

Sijui tumeelewana? Nimeandika kifupi na kwa urahisi kabisa. The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini. Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu.
Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee.

Mkuyati og, MD, Mmed, MPH
 
...... The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu..... Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....

......Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV.....

.....The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini.

....Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee.

.....Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu.....

1.The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu...

Kama mimi napotosha watu,naomba uniambie kama mgunduzi wa kipimo mnachokitegemea ulichotaja hapo juu,yaani PCR kama na yeye anapotosha pia.Sikiliza kwa makini anachosema Profesa huyu kwenye link hapo chini halafu sema wapi amepotosha.Hii ni video iliyomrekodi Prof.Kary Bank Mullis yeye mwenyewe akizungumzia uongo tuliomezeshwa kuhusu HIV/AIDS,kumbuka kwamba huyu ni profesa wa biochemistry na Nobel prize winner baada ya ugunduzi wake na ana akili zake timamu wakati anasema maneno haya.Sasa sikiliza mwenyewe kwa makini hapa chini halafu tuambie wapi kapotosha;

https://www.youtube.com/watch?v=uPYFjDSG0JU ....Nobel prize winner Kary Mullis challenges the AIDS myth.

2.Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....

SI KWELI.Kama unachosema ni kweli tuletee electromigraphs za huyo HIV kutoka popote pale duniani ambapo aliwahi kuonekana kwa njia hiyo.Labda wewe utakuwa unazungumzia cellular debris au typical type-C particles halafu umedanganyika kama ni HIV.Tuletee electromicrographs zake hapa ili wote tumuone huyo HIV anafananaje.Mimi nina hamu ya kumuona picha yake,maana nilikuwa nasikia hadithi zake tu tangu alipotangazwa mwaka 1984 na kale kawaziri kafupi pamoja na yule fisadi wa medical science Robert Gallo.

3.Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV....

SI KWELI.Kama ingekuwa kweli kusingekuwa na rundo la watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.Mimi nilijidunga kwa makusudi damu ya mtu alipima HIV+ lakini nina test HIV- hadi leo hii.Ukijua ukweli huu ni raha sana,mimi najua raha yake ndio maana nataka wengine pia wajue,sasa watu kama wewe aidha hamjui ukweli au hamtaki kujua ukweli kwa sababu za kimaslahi.Ukitaka tunaweza kuonana kwa siri halafu nijidunge damu inayosadikika ina huyo HIV,na nina uhakika 100% nita test negative,kama hujaelewa hapo basi utakuwa umeshindikana.

4.The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini...

Ungesema hivi; 'The deception about HIV ni kubwa kuliko uongo wowote katika sayansi kuwahi kutokea.'

5.Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee....

Ungesema hivi;'Uongo kuhusu HIV/AIDS ni serious case ambayo kila mtu anatakiwa ajifunge mkanda kujisomea/kudadisi ili ajikwamue kutoka kwenye uongo huu.'

Ukitaka kujua ukweli wa hiki ninachosema,basi msikilize MGUNDUZI ORIGINAL wa huyo HIV mnayemkumbatia anavyosema hapa chini.Sasa msikilize kwa makini Prof.Luc Montagnier ambaye ndiye mgunduzi wa huyo HIV anavyosema halafu tuambie kama kasema kweli au kapotosha.Hapa ndipo nitakapojua wewe ni mtu wa aina gani.

Sikiliza kwa makini kwenye link hii hapa chini;

https://www.youtube.com/watch?v=ET0cgvo7UnM ....AIDS can be cured with proper nutrition-Prof Luc Montagnier.

6.Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu..

Hizi ndio fikra za walio wengi,kwamba kama mtu kasomea lugha basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu sheria,au kama kasomea sheria basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu medicine.Fani haina mwenyewe,yeyote anayetaka kujua na ana uwezo wa kujua jambo/fani yoyote ile atajua tu bila kujali hapo mwanzo alikuwa na fani gani,usiwe na ubinafsi usio na maana.Haya ndio mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo.Yaani hata mashuleni kuna kasumba kama hizi,utaona mtu anang'ang'ania PCM halafu lugha hajui,au geografia hajui,sasa ndio nini?Watu kama hawa ukiwapeleka kwenye mazingira tofauti hawawezi wakaendana na mazingira hayo.Sasa nakufundisha kwamba binadamu yeyote anatakiwa kuwa generalist,yaani awe na elimu angalau kidogo kuhusu kila sekta ya elimu kama vile Biology,chemistry,geography,mathematics,language,economics,Money science,politics,history nk.

Sasa nimekuwekea video mbili peke yake kwa kuanzia,kama unataka scientific papers pia utapata,lakini hebu tuanzie hapo kwenye hizo video.Tuchambue video kwanza.
 
Dear All
This subject is a bit complex but as an expert in the field of HIV testing since 1986 nitajaribu kurahisisha kidogo
1 detection of HIV antibodies is one of the methods to diagnose infection. The other test detect HIV antigen (p24). These tests are very sensitive and specific although some may give false positive or false negative results
2. Using PCR. Method one can also diagnose HIV infection. This is done for children below 18 months because of possible presence of maternal antibodies
3. HIV. Viral load and CD4 are used to monitor the disease but not diagnosis.

As a mater of principle antibodies produced by viral of bacterial infections are specific
 
1.The definitive test ni kufanya kitu tunaita DNA-PCR for HIV ambayo ita-confirm presence ya HIV virus katika damu...

Kama mimi napotosha watu,naomba uniambie kama mgunduzi wa kipimo mnachokitegemea ulichotaja hapo juu,yaani PCR kama na yeye anapotosha pia.Sikiliza kwa makini anachosema Profesa huyu kwenye link hapo chini halafu sema wapi amepotosha.Hii ni video iliyomrekodi Prof.Kary Bank Mullis yeye mwenyewe akizungumzia uongo tuliomezeshwa kuhusu HIV/AIDS,kumbuka kwamba huyu ni profesa wa biochemistry na Nobel prize winner baada ya ugunduzi wake na ana akili zake timamu wakati anasema maneno haya.Sasa sikiliza mwenyewe kwa makini hapa chini halafu tuambie wapi kapotosha;

https://www.youtube.com/watch?v=uPYFjDSG0JU ....Nobel prize winner Kary Mullis challenges the AIDS myth.

2.Pia using a high resolution electro-magnetic microscope unaweza kuona virusi vya hiv....

SI KWELI.Kama unachosema ni kweli tuletee electromigraphs za huyo HIV kutoka popote pale duniani ambapo aliwahi kuonekana kwa njia hiyo.Labda wewe utakuwa unazungumzia cellular debris au typical type-C particles halafu umedanganyika kama ni HIV.Tuletee electromicrographs zake hapa ili wote tumuone huyo HIV anafananaje.Mimi nina hamu ya kumuona picha yake,maana nilikuwa nasikia hadithi zake tu tangu alipotangazwa mwaka 1984 na kale kawaziri kafupi pamoja na yule fisadi wa medical science Robert Gallo.

3.Antibody test ya HIV ni specific to antibodies against HIV....

SI KWELI.Kama ingekuwa kweli kusingekuwa na rundo la watu waliopima HIV+ halafu baadaye wakaja kupima HIV-.Mimi nilijidunga kwa makusudi damu ya mtu alipima HIV+ lakini nina test HIV- hadi leo hii.Ukijua ukweli huu ni raha sana,mimi najua raha yake ndio maana nataka wengine pia wajue,sasa watu kama wewe aidha hamjui ukweli au hamtaki kujua ukweli kwa sababu za kimaslahi.Ukitaka tunaweza kuonana kwa siri halafu nijidunge damu inayosadikika ina huyo HIV,na nina uhakika 100% nita test negative,kama hujaelewa hapo basi utakuwa umeshindikana.

4.The concept of HIV ni kubwa kuliko mkuu hapo juu anavyotaka tuamini...

Ungesema hivi; 'The deception about HIV ni kubwa kuliko uongo wowote katika sayansi kuwahi kutokea.'

5.Tuache kupotoshana maana HIV ni serious,, usiombe ikutokee....

Ungesema hivi;'Uongo kuhusu HIV/AIDS ni serious case ambayo kila mtu anatakiwa ajifunge mkanda kujisomea/kudadisi ili ajikwamue kutoka kwenye uongo huu.'

Ukitaka kujua ukweli wa hiki ninachosema,basi msikilize MGUNDUZI ORIGINAL wa huyo HIV mnayemkumbatia anavyosema hapa chini.Sasa msikilize kwa makini Prof.Luc Montagnier ambaye ndiye mgunduzi wa huyo HIV anavyosema halafu tuambie kama kasema kweli au kapotosha.Hapa ndipo nitakapojua wewe ni mtu wa aina gani.

Sikiliza kwa makini kwenye link hii hapa chini;

https://www.youtube.com/watch?v=ET0cgvo7UnM ....AIDS can be cured with proper nutrition-Prof Luc Montagnier.

6.Tuache watu na fani zao, hapa tunaongelea maisha ya watu..

Hizi ndio fikra za walio wengi,kwamba kama mtu kasomea lugha basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu sheria,au kama kasomea sheria basi hawezi/hatakiwi kujua kuhusu medicine.Fani haina mwenyewe,yeyote anayetaka kujua na ana uwezo wa kujua jambo/fani yoyote ile atajua tu bila kujali hapo mwanzo alikuwa na fani gani,usiwe na ubinafsi usio na maana.Haya ndio mambo yanayoturudisha nyuma kimaendeleo.Yaani hata mashuleni kuna kasumba kama hizi,utaona mtu anang'ang'ania PCM halafu lugha hajui,au geografia hajui,sasa ndio nini?Watu kama hawa ukiwapeleka kwenye mazingira tofauti hawawezi wakaendana na mazingira hayo.Sasa nakufundisha kwamba binadamu yeyote anatakiwa kuwa generalist,yaani awe na elimu angalau kidogo kuhusu kila sekta ya elimu kama vile Biology,chemistry,geography,mathematics,language,economics,Money science,politics,history nk.

Sasa nimekuwekea video mbili peke yake kwa kuanzia,kama unataka scientific papers pia utapata,lakini hebu tuanzie hapo kwenye hizo video.Tuchambue video kwanza.

unaoneakana kama vile un ukweli flani hivi wa kushangaza, umejaribu saana kutuambia what HIV is not!! hebu tuambie na what HIV is!! ili tuuelewe mtazamo wako kwa ujumla.
 
Mimi sielezei mtazamo wangu,bali naeleza ukweli ili wengine wenye uwezo wa kuutambua ukweli huo waweze kufaidika.

HIV is not and HIV is NOTHING.Ili uelewe vizuri hili inabidi ujue historia nzima ya mchakato uliofanyika mpaka kufikia 'eti' kugundua HIV.Mchakato huu umejaa siasa na propaganda chafu sana kama utaujua vizuri,sasa baada ya kuujua ndipo utakaponielewa vizuri nikikwambia kwamba;

1.HIV ni jina tu kama yalivyo majina mengine,jina si lazima liakisi uhalisia.HIV=Human Immunodeficiency Virus/Kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini.Sasa hili ni jina tu,hakuna kirusi chochote duniani chenye uwezo wa kuua kinga ya mwili,HAKUNA.Nina rundo la uthibitisho katika hili,nina scientific papers,nina mifano ya watu mtaani,mimi mwenyewe pia ni mfano nk.Ukifungua ubongo wako tu basi utaona ukweli unakuja wenyewe,lakini ukifumbia macho kamwe hutaelewa siri hii kubwa.

2.HIV ni jina alilopewa virus jamii ya retrovirus,jina hili ki maana linaonesha kwamba retrovirus huyu ana uwezo wa kuua kinga ya mwili,lakini kiuhalisia SIVYO.Kuna watu wawili 'eti' kila mmoja aligundua kirusi hiki katika maabara yake.Ukatokea ugomvi mkubwa wa kugombania patent/umiliki wa huyo 'mdudu',he he heee.Kuna mmoja alitoka ufaransa na mwingine marekani,basi 'eti' marais wa kutoka nchi hizi mbili walikutana pamoja 'eti' kujifanya wanataka kutatua ugomvi huu.Mwisho wa siku wakajifanya kugawana umiliki na kuamua kwa pamoja kumpachika mdudu huyu jina liitwalo HIV.Hivyo HIV ni jina la kimaslahi tu,haliakisi uhalisia.

3.Sasa kichekesho kinakuja.Muulize daktari yeyote kama aliwahi kumuona huyo HIV katika maisha yake,HAKUNA.Kama hata hao miungu wao('eti' wagunduzi) wameshindwa kumuona,watamuona hawa madaktari wetu tena walioshikiliwa akili?Sasa kama hawakumuona hawajawahi kupata picha ya HIV kutoka kwenye damu ya mtu,wamejuaje tabia yake inayofanya kinga ya mwili kushuka hasa kipindi kile ambapo uwezo wa kisayansi ulikuwa mdogo sana.Sasa hivi ukiwauliza watakwambia tuko kwenye molecular biology,sasa kipindi kile je,vipi?walijuaje?

4.Watu hupenda kusikiliza vitu fulani tu wanavyopenda kuvisikia,hii hutokana na kasumba.Kuna Profesa mmoja anaitwa Peter Duesberg,huyu ni mtaalam wa retrovirus zaidi ya miaka 20,hao 'wagunduzi' wa HIV wenyewe wanamfahamu huyu.Peter anasema HIV ni retrovirus,hawa wagunduzi pia wanakubali hilo,Peter akasema tena kwamba retrovirus wote hawana uwezo wa kuua kinga ya mwili.Wagunduzi hawa wameshindwa kuthibistisha kama Peter anadanganya na wameshindwa pia kuthibitisha kama HIV anaua kinga ya mwili.Hata ukienda mtaani wewe mwenyewe kufanya uchunguzi utaliona hilo waziwazi.

5.Eti HIV anaambukizwa kwa njia ngono(damu),pumbavu sana hawa watu.Mimi mbona nimejidunga damu ya mtu aliyepimwa HIV+ lakini mpaka muda huu mimi ni HIV-?Hakuna mpumbavu yeyote kutoka kwenye sekta ya afya anayeweza kujadiliana na mimi,mimi nimefanya kwa vitendo,hao wanatumia hisia,hii ndio tofauti yetu.

Hivyo basi,fahamu kwamba kuna retrovirus,lakini hakuna HIV kiuhalisia.HIV kama jina yupo,na ndio hapa ninapopatumia kuwaambia watu kwamba HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine tu,kwenye sayansi hatutangazi imani hadharani mpaka tutakapopata uthibitisho,hadi leo watu wenye imani kwamba HIV anasababisha AIDS hawana uthibitisho wowote.Wale tunaosema HIV hasababishi AIDS tuna uthibitisho tele,hata wewe hapo kwa jirani yako tu kuna uthibitisho,nenda kaangalie.

HIV/AIDS is a MINDSET disease.If you change your mind and do your own simple research, you will see the truth is flowing very easily.
 
hebu elezea watu wanakufaje katika hali ya kudhoofika saana, kwa kitu kama mindset tu, na kumbuka wanaokufa kwa hali hiyo ni pamoja na wale wasiopima.
 
Back
Top Bottom