UZUSHI: Ibrahim hajawahi kufika Mecca

UZUSHI: Ibrahim hajawahi kufika Mecca

Fix za kidini zimeganda sana vichwani mwa waislamu na wakatoliki.
Ibrahimu (Myahudi) wapi na wapi Makka (uarabuni)? Yaani Ibrahimu asijenge msikiti kwao kule Israel aende akajenge huko ugenini kwa waarabu? Tangu lini Myahudi akawa na ukaribu na muarabu wa kiasi hicho?

Petro (Myahudi) wapi na wapi na Italy (Ulaya)? Yaani Petro asijenge kanisa kule kwao Israel (Yerusalem) aende akajenge/kujengewa kanisa juu ya kaburi lake la mchongo huko Italy (Ulaya)?
Ukristo (genuine and authentic Christianity) sio dini
Ukatoliki sio Ukristo bali ni dini
Uislam ni dini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom