Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

Duh!!! Kwa hiyo alikuwa na uzuri wa nje tu?!!.
 
Aisee, nitakualika kwenye mafundisho ya Ndoa na mahusiano kwa vijana inaonekana una madini sana wewe jamaa.
 
Jamaa ana point sana, wengi tulikosea kuoa, nyege mara nyingi huishia kuwa na bad choice, mfano mimi kabla sijaoa huyu mke wangu, kuna vitoto vizuri vizuri niliviweka kwenye list ya kuvioa kati yao, bahati mbaya kila moja alikuwa na kasoro...mfano mwanake aliyewahi toa mimba, huyo hana sehemu kwangu..ndo nikaipata hii ngoma yangu ninayoishi nayo na kuzaaa nayo watoto kadhaa, inanihudumia kila kitu
 
Umeona sasa, mleta mada hajui vitu vizuri, anafikiri demu sura, unaeza kuta sura nzuri na shape ila mashine bovuuu, miharufu nk.
Na kuna mwingine kipori wa kawaida ila ana ice cream tamu balaa...
 
Naona hujaelewa comment yangu. Rudia kusoma, utaelewa nilichoandika.
 
Huyu kwenye picha lazima atakuwa ni wewe. Au nimekosea? 😁😁😁

By the way, ni makosa makubwa sana kuchagua Mwanamke wa kuoa kwa kutumia kigezo cha sura nzuri au umbo zuri.
Hapana aseee life partner, halafu nichague wa ajabu hapana....😁😁

Nilie nae mzuri hadi kuna mda kakaa zake kwenye Kochi nampiga kijicho cha chini chini nafurahi mwenyewe, yani najiona nimeyapatia haya maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah!!,Huyo mjomba wako ni noma sana,aliwezaje kuishi na mtu asiyempenda kwa miaka zaidi ya 30??.
Inakuwaje unaishi mpaka unazeeka na huku moyoni mwako ulikuwa unapenda kuwa mfanyabiashara Ila ukaishia kuwa daktari?
Kwani chaguzi ulizokuwa unazitaka ukiwa mdogo kwani ni zote tu ulizipata.

Mie huwa nawashangaa watu ,hapo ulipo unapata kipato ambacho sicho unachopenda,unaishi mahali ambapo sio chaguo lako,ramani ya nyumba yako sio Ile uliyokuwaa unaiwaza, umri ulio nao Kuna vitu bado hujavipata na huku hapo nyuma ulidai kuwa ukifika tayari utakuwa na kitu fulani Ila hujapata.

Ni kweli mtoa mΓ ada bado ni under 25 so bado hajakua Ile waita matured akajua life gives you what you deserve and not what you like.
Binafsi mke wangu ni normal sio shape za akina Mobeto Ila nilipewa mke ambaye nilikuwa namuota kitabia.

Yaani sioni shida yoyote hata nikichepuka ni tamaa Ila sijakosa kitu kwangu ni Kama mchukua rushwa sio kuwa salary haimtoshi.by nature binadamu we've so much greeed of wanting more more and more.
 
Hakuna binadamu mbaya mpaka siku za mwisho bali kuna "PERSONALITY" + "ATTITUDE"

Ka ukijua kuna walioachwa kwa utu wao mbaya pamoja na muonekano wao mzuri

Narudia tena binadamu wote wana shepu nzuri na muonenakano mzuri ila utofauti unakuja kwenye utu.

NB. Utu sio tabia!
 
Kihalisia watu ambao wako Kwenye purest form ya kibinadamu ni Watoto wadogo ambao bado hawajapigwa na sumu ya sex Hormones ,na wazee ambao sumu ya sex Hormones iko Kwenye dying phase,

Ukitaka ushauri kuhusu maisha tafuta views za wazee ,views zao ziko clear hazina wingu zito la emotions,na ukitaka furahia maisha Tazama watoto wadogo wanavyoflow na maisha,Pure joy,

Kundi lililopo katikati ya wazee na watoto wadogo ,lina upumbavu mwingi sababu sumu ya hormones inaongoza maamuzi katika mambo mengi yaani linayakuza mapenzi kuliko uhalisia wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…