P popoma03 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,249 Reaction score 1,805 Mar 7, 2018 #21 Uzuri wa ndoa ni kutombana officially
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,230 Mar 7, 2018 #22 Duuh ....... Siko kwenye ndoa ila nimejaribu kuidadavua ndoa kama jina. Ndoa ni nzuri na njema inaposomeka kwa herufi zote kuanzia N hadi A. Ila ukiondoa herufi ya moja tuu hapo ndo shughuli huanza. Badala ya ndoa inakuwa DOA hapo umeondoa N Badala ya ndoa inakuwa NOA hapo umeondoa D Badala ya ndoa inakuwa NDA hapo umeondoa O Badala ya ndoa inakuwa NDO hapo umeondoa A Ili ikamilike na iwe tamu na njema herufi zote zitimie. Ikipungua moja tuu ni shida. Anyways acha wenye ndoa waje watupe mchanganuo wa ndoa zao. Kasie Kibibi
Duuh ....... Siko kwenye ndoa ila nimejaribu kuidadavua ndoa kama jina. Ndoa ni nzuri na njema inaposomeka kwa herufi zote kuanzia N hadi A. Ila ukiondoa herufi ya moja tuu hapo ndo shughuli huanza. Badala ya ndoa inakuwa DOA hapo umeondoa N Badala ya ndoa inakuwa NOA hapo umeondoa D Badala ya ndoa inakuwa NDA hapo umeondoa O Badala ya ndoa inakuwa NDO hapo umeondoa A Ili ikamilike na iwe tamu na njema herufi zote zitimie. Ikipungua moja tuu ni shida. Anyways acha wenye ndoa waje watupe mchanganuo wa ndoa zao. Kasie Kibibi
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,734 Reaction score 4,395 Mar 7, 2018 #23 Ndoa tamu mwee hasa ukipata mtu anayekujali na kujali hisia zako...
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,734 Reaction score 4,395 Mar 7, 2018 #24 Ndoa tamu mwee hasa ukipata mtu anayekujali na kujali hisia zako...
Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,876 Reaction score 4,531 Apr 16, 2018 #25 Sioni kauli ya kiume kwenye matamshi yako mbona mkuu?? Weka wazi kwamba ww ni KE mkuu V