sikujhighijha tembo
Member
- Mar 19, 2017
- 51
- 17
balimi haina hang oversahz wamelala bado na hangover za balimi! watakujibu wakiamka! cku hz heineken wanaiskia kwenye matangazo
balimi haina hang oversahz wamelala bado na hangover za balimi! watakujibu wakiamka! cku hz heineken wanaiskia kwenye matangazo
Mizigo tunayopenda sisi watu wa Africaduu mkuu dada zetu wazuri sana basi tuu,hata mimi nawapenda mis bantu wallah,maana wna mizigoo!
Kajikubali wapi huyo? Huoni nywele hizo? Ni zake?
Hata mimi napenda miss Bantu wallah,maana mzigo unajaa kwenye kipedo,hadi kinachanika kile kipedoMizigo tunayopenda sisi watu wa Africa
tenaa..Kama avatar ilivyo