Uzuri wa mwanamke wa kiafrika

Uzuri wa mwanamke wa kiafrika

k
Nyie wanaume ndo chanzo cha cc kutojikubal wanaume weng tatzo mnapenda wanawake weupe ndomana kla kukicha wanawake wanajicream mm mwenyew naambiwaga na wanaume wananipenda et ksa mweupe kwa hyo tafsir yake nikifubaa tu sitopendwa xo Niko makin nisifubae nsijekosa Mume bure
una weupe wa kiafrika,yani hao wanakukubali weupe wako wa kiafrika sio wa kizungu
 
And you are my African king Smart911 thank you so much baby .
Thanks for realizing that my one and only Smart911
Lavyuuuuu
Good thing about you love.. Hunaga makuu kabisa... Very understanding hard working with future vision... Hunaga kona kona.. You are straight on ur things...
 
8bdd5b4db4bbdbad88c3a91ffa2742fa.jpg
74d32c6419c5467681b7ca04d4caffe5.jpg

Live and die in africa
 
Habari waungwana,

Huwa nakata tamaa sana na mwanamke wa ki afrika anaye jipiga carolyte ili afanane na Mzungu, hawajajua labda thamani yao. Kitu walichofanikiwa wazungu ni kumfanya mwafrika ajidharau mwenyewe hasa mwanamke, aisee wanawake wa kiafrika ni wazuri duniani hakuna, hivi ndio vitu amabavyo watu wa rangi zote huwa wana muonea gere mwanamke wa kiafrika duniani pote.
1.Lips,
Ukitaka kumjua mwafrika yoyote duniani mwangalie midomo yake,mara nyingi huwa ni pana kidogo zenye kuendana na umbo na rangi halisi ya mwanamke wa kiafrika.

2.Nywele, wana nywele ambazo anaweza zifanya vyovyote apendavyo, akiamua kuzisuka,kuzifunga, kuzitengeneza dread locks nk na kuzifanya apendavyo yeye kulingana na hali aliyopo mda huo, ukame, ukata wa kiuchumi nk.

3.Uwezo wa Kuishi mazingira yoyote,kwenye joto baridi nk.

4.Umbo, awe mwembamba, au 'miss bantu' anavutia kwa kweli.

5.Ngozi, inayokubali kila aina ya sabuni, mafuta na mazingira, infact miaka ya karibuni kumekuwa na matatizo kidogo kwa baadhi ya dada zetu kuchagua aina ya mafuta ya kupaka, sabuni ya kuogea nk, but mimi huwa nasema ni just complications tuu na kuibuka kwa magonjwa mbalimbali na allergies ila walio wengi hawana hayo mambo, yaani geisha, malaika, komoa, komesha sabuni ya aina yoyote anaogea bila shida na kupaka mafuta yoyote yawe ya nazi, nivea, ya limao nk.

6.Kua tu na mwanaume wa kiafrika, yaani kitendo tu cha yeye kuwa na uwezo wa kua na mwanaume wa kiafrika, unajua duniani ukisema nataka mwanaume mrefu mwenye umbo kadha wa kadha mwanaume wa kiafrika anatumika sana kamaa mfano na anpendeza,sio tu Afrika ila duniani kote 'Man From he Sun'
So dada zetu acheni kujishtukia brand yenu duniani ni kubwa kuliko mnavyofikiria,
Quinene mwitu.
Waambie pia wapunguze mizinga😀😀😀
 
hahahaha, labda ucheshi wa kichwa kidogo not kichwa kikubwa😀😀😀
sasa mkuu kichwa kidogo na kikubwa kipi kinaongoza kwa maamuzi,ikiwa wanasema kichwa kidogo kikiwa kazini theruthi ya akili huwa inatoweka
 
Back
Top Bottom