Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

dada zangu mmepoteana mpaka basi MUNGU AUMBE NYIE MMSAHIHISHE SUBIRINI MUONE SIKU YA KIYAMA
 
ni ukweli kwamba artificial inaboa sana sio kwamba tunaepuka gharama za kuwaudumia hapana ila ukimuona hata akipta njian tafsili yake sio mtu wa kuoa,wengi wao akitembea umbali wa kilometa bila kuitwa anahisi ana nuksi basi akitoka apo ndio ataongeza vtu vngi mwilini kwa nia ya kujilemba kumbe ndo anzidi kualibu....ni hayo tu
 
mwanamke ni uwa...Mwanamke anatakiwa apendeze...Tena km wewe ni mme mpendezeshe mkeo, ajirembe...kila urembo uuonao mnunulie mkeo lile ndilo ua lako la ndani....

Acheni ushamba nyie mnaosema mwanake asijirembe......Mwanamke anuke jasho, mwanamme jicho kodo na mwanamke nae? Jicho la mwanamke lirembwe lirembeke lilegee .....Domo lidode
 
Mwanamke hatakiwi kufanana na mwanaume bwana...Mwanamke mapambo khaa!!!
 
wengi wanaojiremba wana mithura mibayaaaaaa,,,,mie napenda mtu kama alivyo na sio maurembo coz nikitaka maurembo hata mdoli naweza kumvalisha.
 

Na vijito vitiririshe maji bila kukoma kama chozi la mwanamke.
Na maua yachanue na kunyauka kama penzi la mwanaume.
 
Kina Oprah nk wanajiremba sembuse wabongo ambao Shida za maisha zenyewe zinawafanya nyuso zichoke....Mwanamke hatakiwi kuwa km dume bwana...Acha ushamba....Ndio nyie nyie hamtaki mwanamke apake perfume....
 

Jmn mgomba kuupalilia, by the way kila ktu kina radha yake mi napenda mix up sometyms nakuwa natual and somtyms artifish.
 
Nilipo kuwa mwaka 1 chuoni,ktk somo la philosophy 2lijifunza kuwa "beauty is in the eye of the beholder"hi inamanisha uzuri wa m2/k2 kipo ndani ya k2/m2!,so uzuri ni jinsi m2 avyo interprt
 
Una akili sana. Nlijua ni mimi peke yangu.
 
Mkuu umefunga mjadala @@@Tuwarembe tu we
Mkuu umefunga mjadala@@@ Tuwarembe tu kama nguvu ipo ila ma make up yasizidi
 
Kwahiyo mnataka tuslay na kipilipili chetu eeeh?
Tatizo kama mtu amevaa madude yake kichwani ukammwagia maji bahati mbaya kwenye yale madude yake, uhusiano unakufa siku hiyo hiyo. Na akijipaka maudongo yake, ukimwambia tuogelee hatakubali. Utaogelea peke yako.

Mbaya zaidi anakuwa na harufu kama ya kwenye duka la Dawa baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…