Uzuri wa mwanamke ni upi?

Uzuri wa mwanamke ni upi?

kwa kizazi hiki cha WAMISRI ni tabia, shepu, sura na weupe! matakoyanaingia hapo kwenye shepu!! kwa WACAANAN ni tabia! over!!
 
Wanawake hawana uzuri wowote ni hizo lipstick,poda, mini-skirt n.k ndo vinavyo wapendezesha kama huamini fanya hii research ndogo
1)Mchukue mwanamke mnyoe nyele zote
2)mnawishe uso na maji ya chumvi
3)mpeleke msibani alie weeeeeee

halafu muangalie kama hauta kimbia

hivi zinakutosha kweli?
 
Back
Top Bottom