OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
ndio it's obvious,kuna wadada kabisaa unaona ni mzuri zaidi yako na unakubali UKWELI,na mwingine unajua hakutishi lolote..
Tofauti na nyie wanaume 'achievement' matters zaidi kuliko looks
Nakupenda bure kwa ukweli wako G.girl!!!!!!
Kwa hiyo wewe "type" yako ni achieved tu mtu kapuku akina sie tukukalie mbali???!!!
Last edited by a moderator: