20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
mkuu naomba ufanye kwanza hiyo research alafu ulete majibu hapa
Nshafanya sana...tatizo unashindwa elewa kuw kun uzur wa ku bust kwa make ups na wateva na kuna mwingine hatupii make up wala nn bt anavutia kanyoa nywele fupi kpaka mafuta kawaida tu bt yupo hot...ila wew waonekan unadefine uzuri kwa stail hyoo ya kutupia vitu artificial or uzuri=kupendeza kulingan na maelez yako
Ila unaweza pita mitaan ukakuta watot wa mitaan no make ups hajaoga two days bt utasem she z hot ila akipata matunzo atakuwa fire