Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Uzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe
kauli njema ni ibadaUzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe
Kafanyweje uyuUzuri wa mwanamke ni kauli,hata uwe figure 8 na huna kauli nzuri itaishiwa kufanywa kama daladala,jifunzeni kauli nzuri nyie viumbe




Huna experience mkuu?Ngoja waje wahusika
Huna experience mkuu?
nikianza kutaja mapungufu yenu hapa Nitaonekana mchocheziIbada? Kivip yankauli njema ni ibada
Mmmmmmh!!! huo upaja aisee!!! Akivua nguo je?