Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Methali hii nimeikumbuka sana tangu nipate Connection iliyotembea wiki hii. Ni wakati sasa tutulie na Kuku wetu wa Kienyeji wana mashine nzuri na za kuvutia.
Hawa Mastaa wa Bongo wanajibrand na kujipandisha bei kumbe hakuna chochote special ni wa kawaida kabisa na wala sio Wasafi.
Ni wakati Wanawake watembee Kifua mbele na kutokuvunjika moyo sababu ya mastaa