Uzuri wa gari ni bodi

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,385
Reaction score
139,186
Asikudanye mtu uzuri wa gari ni body hata likipita barabarani utavutiwa na body na si kingine gari hata iwe na sura nzuri lakini body limepondwapondwa hadi kupoteza shape hamna atakayelitaka gari ikiwa na body nzuri vitu vingine vodogovidogo unarekebisha tu. Hata engine ukiifanyia service vizuri utashangaaa inarudi upya.

Gari ikiwa na body nzuri unaweza kwenda nayo popote na ukajisikia una gari na hata wenzio watakwambia mzee umekuja na chombo cha uhakika.

Au hudhuria vikao vya familia vile vya mwisho wa mwaka waambie hii gari naijaribu nikiipendaa naichukua moja kwa moja hata wale dada zako waliokuwa wanaponda gari zako za zamani watakwamvia kaka hii gari usiiache. Kwangu mimi gari ni body sijui nyinyi ?
 

Hivi mkuu kati ya body na Engine kwa mfano kipi ni ghali zaidi. mtaani kuna msemo gari ni engine.
 
Haya jamani let's hit the gym ndo ujumbe tunaopewa na huyu bwana mdogo RRONDO.

Ni kweli kabisa anachokisema hata sisi tunawaangaliaga wakaka wazuri wazuri body zao. Kabla hata ya kuangalia viatu wala nywele.πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

TGIF.
 
wanafasihi pekee ndio tumeelewa huu uzi unamaanisha nini, naona watu wanaweka picha za magari humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…