Achana na matimu bwashee, kunywa biaUnaniongezea stress tena, tuachane nayo kama hauijui
Basi kuanzia muda mchache ujao nitaachana na hayo masuala tuliyokaririshwa, uzuri vitu vya kufanya ni vingi sanaMashabiki wengi walishaaminishwa Simba kufanya vibaya sababu ni Yanga, kutochukua makombe sababu ni Yanga. Kum control shabiki wa mpira wa TZ ni rahisi sana. Tumakaririshwa Simba na Yanga ni kubwa bila kuwa na facts za ukubwa gani unaozungumzwa hapo.
Sisi tumekaririshwa ushabiki.
Mpira ambao wanaume 22 wenye miguu 44 wakiwa na wasimamizi zaidi ya kumi kila upande wanaokutana kwenye sehemu ya wazi iitwayo uwanja wakihangaikia kitu fulani chenye umbo la mviriringo kukiingiza kwenye nyavu zilizofungwa kwenye mabomba kama ya chuma hivi yaliyokaa kama mstatiriMpira wa simba na yanga ama unamanisha mpira wa kinga...🫣
Ndio mkuu wangu...🫡Mpira ambao wanaume 22 wenye miguu 44 wakiwa na wasimamizi zaidi ya kumi kila upande wanaokutana kwenye sehemu ya wazi iitwayo uwanja wakihangaikia kitu fulani chenye umbo la mviriringo kukiingiza kwenye nyavu zilizofungwa kwenye mabomba kama ya chuma hivi yaliyokaa kama mstatiri
Umenielewa?
Mi napenda mpira ila nilichefukwa siku timu yangu ilipotajwa kuchangia kwenye mauwaji ya halaiki. Nilijuliza sana na toka siku hiyo mi sio yule shabiki wa awali. Hizi timu zinatumika kinyume na wengi tunavyodhani na matokeo ni km wewe na mimiBasi kuanzia muda mchache ujao nitaachana na hayo masuala tuliyokaririshwa, uzuri vitu vya kufanya ni vingi sana
Ulivogundua hivo ulichukua hatua gani mkuuMi napenda mpira ila nilichefukwa siku timu yangu ilipotajwa kuchangia kwenye mauwaji ya halaiki. Nilijuliza sana na toka siku hiyo mi sio yule shabiki wa awali. Hizi timu zinatumika kinyume na wengi tunavyodhani na matokeo ni km wewe na mimi