we si unajifanya mjanja sana,yako nikiweka tusilaumiane.
mitaa hii bado kulala
Teyari niko in kwako.
Nalog off
basi mitaa yetu raha tupu,....ila acha pozi ile ya kupiga pic ukiwa umebinua ta.ko........watu wanadataHahaha!
Weka, afu nitakutonya kama kweli au vp...!!!
Duh, mtaa wenu kama wetu.
mimi niko in bi dada we bonyeza naniliyu tu.Bado umelog off mbona?
basi mitaa yetu raha tupu,....ila acha pozi ile ya kupiga pic ukiwa umebinua ta.ko........watu wanadata
hilo la kubinuka si unajua napenda jichoEti wengine husema ulemavu.
Aisee,binadamu sisi.
We wapenda pozi gani nikae?
mimi niko in bi dada we bonyeza naniliyu tu.
Nalog off
ila ipo tight ujue
Madam tinna cute, usiteswe na inferiority complex, tupo wanaume wengi tu wenye flavour na MOBONGE.Mabonge oyeeeee!!!!! kumbe na sio tumo jamani........
Madam tinna cute, usiteswe na inferiority complex, tupo wanaume wengi tu wenye flavour na MOBONGE.
kula ushibe..kama mzuri ni mzuri tu..
Mh!, unamsikiliza Excellent, mwenzio anajiongelea tu.
Anataka kubahatisha huyo.