<br><strong><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=80055" target="_blank">Madame B</a></strong>,unafanana na mmoja kati yao mimi ndio ugonjwa wangu watu wa sampuli hii.<br>
Nalog off
sijakwenda popote nipo nipo tu kitaani.Ngoja nimtafute.Hahahaa..........
Mtafute Bujibuji atakuambia mie nafanana na nani hapo.
Hujaenda Fiesta?....leo hatulali kelele tupu mtaani kwetu.
sijakwenda popote nipo nipo tu kitaani.Ngoja nimtafute.
Nalog off
hii hapa
hii hapa
Basi kama unahisi atanidanganya bora uniambie mwenyewe.Mtafute, ila atakachokwambia uje unieleze, maana nae anaweza akudanganye.
nywele halafu hicho kifua imezidi mno........hilo ta..ko lako naconfirmHahaha!
Haya bhana, ila unakaribia kidogo kunipatia.
Kasoro kimoja tu...otea.
Basi kama unahisi atanidanganya bora uniambie mwenyewe.
Nalog off
Teyari niko in kwako.Log in nikwambie.
Hahaha.
we si unajifanya mjanja sana,yako nikiweka tusilaumiane.