Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

Shida ya Mwanamke akiwa independent anasema I don’t need a man hapo ndio tatizo linaanza

Tofauti na sisi ukiwa na pesa utajali familia yako na kusaidia watu wengine... unajua kuna ile feeling as a man ukitatua matatizo ya watu una feel proud
 
Upuuzi huu mimi siuwezi na siutaki.
Mapenzi ni mapenzi...siuzi nyege wala sitaki kutumikishwa kingono kisa nimezidiwa kipato, mapenzi ni kutumikiana, wala siwezi kujifanya marioo...nina nguvu, nina akili za kutosha na nina utashi wa kutafuta pesa zangu.

siwezi kumuinamia mwanamke...mimi ni simba dume lazima sauti yangu iwe ya mwisho kwa ushawishi , upendo na mamlaka.
mwanamke akithubutu kunikalia au kutonisikiliza kama mume au mpenzi neno ni moja....kwaheri.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato.

Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike hiki kilikuwa ni kipindi cha utawala wa JK, mzee wa Msoga.

Mdada alijiimarisha sana kiuchumi kuanzia kumiliki majumba, magari na biashara mbalimbali.

Sikuwa vizuri kiuchumi wakati nikiwa nae kwenye mahusiano. there was a big financial gap between me and her. Hali hii ilinifanya niwe very loyal to her.

Girlfriend wangu alinizidi kipato licha ya kwamba nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani binafsi na kunifanya nisikose pesa mfukoni.

Hivi ni baadhi ya vitu nilivyojifunza katika aina hii ya mahusiano.

1: Mwanamke wa namna hii huwa very independent and confident. Hapendi umpangie ratiba zake wala kumuingilia kwenye mambo yake. Kama mmeenda kwenye starehe, muache ajiachie mpaka achoke, kwa mfano ukimzuia asiendelee kunywa bia ili mrudi mapema nyumbani atakasirika maana anajua anatumia pesa yake.

2 : Kuwa mvumilivu pale anapopiga story na mashosti zake zinazohusu mikasa yao ya starehe au mahusiano na wanaume wengine. Usije ukaleta kiherehere cha kutaka kuhoji. Atakupiga biti.

3: Kubali kusimangwa, sina hakika kama wote wapo hivi, ila huyu wa kwangu alikuwa ananisimanga hasa akiwa amelewa. Kuna siku wakati tunarudi kutoka kwenye starehe nililazimika kushuka njiani baada ya kushindwa kuvumilia masimango ndani ya gari yake.

4 : Jiamini, kuwa vizuri kimwili na kiakili. Mwanamke wa aina hii hapendi kudate na mwanaume legelege. Yaani uwe legelege kwenye kipato na kimwili?, hapana.
Vaa vizuri, nukia vizuri and don't forget to put your body in good shape by doing different exercises. wa kwangu alikuwa ananiambia kabisa nimekupenda kwasababu upo vizuri kimwili na kiakili. Possess knowledge about certain common things. Angalau uwe unajua baadhi ya vitu kuhusu computer au matumizi ya vifaa vya kidijitali. Be street-smart, usiwe mshamba mshamba.

5: Kubali kukatisha ratiba zako na kufuata ratiba zake. Usitoe excuse pale anapokupigia simu kukutaka umsindikize sehemu. Ukifanya hivyo atahisi unamdharau, jiandae kukaripiwa au kununiwa.

6: Kwenye mapenzi hakikisha unamridhisha yeye kwanza, yaani mpe dozi ya kibabe mpaka moyo wake uridhike na umfanyie vile vitu anavyopenda kufanyiwa kitandani. Usilete utundu wako wa kutaka kufanya vile vitu unavyovipenda wewe. Utamkwaza.

7 :Usipende kuhoji mahusiano yake ya nyuma wala wewe usipende kusimulia mazuri ya EX wako. Atakwazika.

8 :Usimpangie matumizi hata kama unahisi fedha anazotumia zinazidi kiwango. Muache atumie vile anavyotaka. Kumbuka ni zake.

9 : Sifia umbile lake au mavazi yake hata kama unahisi siku hiyo hakupendeza.

10 :Mzawadie zawadi hata kama ina gharama ndogo. ataipokea na ataithamini.

11 :play your part by becoming her comforter during her difficult times. Kuna wakati anaweza kukuelezea changamoto mbalimbali za kazini kwake, biashara zake, ndugu zake au marafiki zake. Usiwe sehemu ya kuzidisha tatizo. Wakati wa mazungumzo msikilize na mwisho uje na masuluhisho sahihi.
 
Experience ya kindezi sana hii we sema tu una lelewa
Huu ni ushoga wa kindezi.
Mimi kuabudu pesa ya mwanamke ni kosa kubwa sana.
Mimi sio mlemavu hadi kufikia kuteswa hivi.
Hata nipitie hali ngumu nitabaki kuwa mwanaume
 
Kama unataka hiyo unayoiita “position yako” tafuta mdada unayemzidi kipato. You don’t have any position there, stop being delusional!

Hata hivyo wanaume ni watu wema sana sisi huwa wanatulea mpaka mwisho wa maisha yetu, hapa ndio huwa naamini uwepo wa “uasili” na “uhalisi”.
Una akili hadi moyo umegonga.
Yesi sisi ni watu wema sana.
Tena tupatapo mshiko unatamani kula na mpenzi wako na kumfanya mwenye furaha.
 
Kwa hiyo sio wanawake wote wenye financial freedom wako hivyo kama huyo isipokuwa ni huyo tu labda na wengine baadhi lakini kikubwa ni ukosefu wa maarifa kuhusu mahusiano ya kimapenzi.

Mambo mengine matharani hulka, ulimbukeni , uhuni, kukosa kuwa na uchaji Mungu, kukosa kujua Mwanaume ni mtu gani n.k. Pia kuchangia katika kuharibu mahusiano Kwa kutomthamini mwenza wako.

Ikumbukwe kuwa hata kama mko kwenye couple ya muda mrefu lakini haindoi ukweli kuwa ninyi ni watu 2 tofauti kwa hiyo msichukuliane Poa kila wakati.
Nilishawahi Kuwa na Mwanamke wa aina Hyo, alichosema Mwana ndio Ukweli. Kuna Alinambia ananipenda Kwa vile Tu Mimi ni Tall Mweusi na Body Yako ya Kiume Ila zaidi ya hapo hakuna, duuuuh nilijisikia vibaya kinyama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulichukua uamuzi gani baada ya kuambiwa hivyo? Ni mke au gelofrend tu?
 
Nina mahela mkuu karibu nikulee
Wa kunilea mimi hajazaliwa wewe.
Wewe pesa unayo inayoweza kukulisha wiki moja tuu.
Baada ya hapo unaanza kugongea😂😂😂😂

Umeona wapi mwenye pesa anapenda umbea kama wewe😆
 
Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato.

Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike hiki kilikuwa ni kipindi cha utawala wa JK, mzee wa Msoga.

Mdada alijiimarisha sana kiuchumi kuanzia kumiliki majumba, magari na biashara mbalimbali.

Sikuwa vizuri kiuchumi wakati nikiwa nae kwenye mahusiano. there was a big financial gap between me and her. Hali hii ilinifanya niwe very loyal to her.

Girlfriend wangu alinizidi kipato licha ya kwamba nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani binafsi na kunifanya nisikose pesa mfukoni.

Hivi ni baadhi ya vitu nilivyojifunza katika aina hii ya mahusiano.

1: Mwanamke wa namna hii huwa very independent and confident. Hapendi umpangie ratiba zake wala kumuingilia kwenye mambo yake. Kama mmeenda kwenye starehe, muache ajiachie mpaka achoke, kwa mfano ukimzuia asiendelee kunywa bia ili mrudi mapema nyumbani atakasirika maana anajua anatumia pesa yake.

2: Kuwa mvumilivu pale anapopiga story na mashosti zake zinazohusu mikasa yao ya starehe au mahusiano na wanaume wengine. Usije ukaleta kiherehere cha kutaka kuhoji. Atakupiga biti.

3: Kubali kusimangwa, sina hakika kama wote wapo hivi, ila huyu wa kwangu alikuwa ananisimanga hasa akiwa amelewa. Kuna siku wakati tunarudi kutoka kwenye starehe nililazimika kushuka njiani baada ya kushindwa kuvumilia masimango ndani ya gari yake.

4: Jiamini, kuwa vizuri kimwili na kiakili. Mwanamke wa aina hii hapendi kudate na mwanaume legelege. Yaani uwe legelege kwenye kipato na kimwili?, hapana.
Vaa vizuri, nukia vizuri and don't forget to put your body in good shape by doing different exercises. wa kwangu alikuwa ananiambia kabisa nimekupenda kwasababu upo vizuri kimwili na kiakili. Possess knowledge about certain common things. Angalau uwe unajua baadhi ya vitu kuhusu computer au matumizi ya vifaa vya kidijitali. Be street-smart, usiwe mshamba mshamba.

5: Kubali kukatisha ratiba zako na kufuata ratiba zake. Usitoe excuse pale anapokupigia simu kukutaka umsindikize sehemu. Ukifanya hivyo atahisi unamdharau, jiandae kukaripiwa au kununiwa.

6: Kwenye mapenzi hakikisha unamridhisha yeye kwanza, yaani mpe dozi ya kibabe mpaka moyo wake uridhike na umfanyie vile vitu anavyopenda kufanyiwa kitandani. Usilete utundu wako wa kutaka kufanya vile vitu unavyovipenda wewe. Utamkwaza.

7: Usipende kuhoji mahusiano yake ya nyuma wala wewe usipende kusimulia mazuri ya EX wako. Atakwazika.

8: Usimpangie matumizi hata kama unahisi fedha anazotumia zinazidi kiwango. Muache atumie vile anavyotaka. Kumbuka ni zake.

9: Sifia umbile lake au mavazi yake hata kama unahisi siku hiyo hakupendeza.

10: Mzawadie zawadi hata kama ina gharama ndogo. ataipokea na ataithamini.

11 :play your part by becoming her comforter during her difficult times. Kuna wakati anaweza kukuelezea changamoto mbalimbali za kazini kwake, biashara zake, ndugu zake au marafiki zake. Usiwe sehemu ya kuzidisha tatizo. Wakati wa mazungumzo msikilize na mwisho uje na masuluhisho sahihi.
Hahahaa wewe kweli umetembea na huyo mdada uzi wako umeutendea haki...hizo ndizo tabia zao kuu
 
N

Njaa za kibongo anaweza kuvumilia
Inasikitisha sana mkuu,

Eti gelofrend anakupigia simu uende, hata kama una shughuli zako uweke pembeni uende kumsikiliza.

Anakupa K akitaka, na uhakikishe unafanya anavyotaka, akisusa basi tulia coz she's in control.

Akiwa na wenzake hata kama unataka msepe we vumilia tu, maniner...

Anaweza kukusema na kukusimanga popote mbele za watu...aiseeeeeee!!

Nifeee masikini dadeq, siuzi heshima yangu kirahisi namna hii.
 
Hamna kitu kama hicho.
Najijua mimi ni malaika kwa mtu snayeniheshimu nitamheshimu mara 2.
Ukioeta dharau regardless hadhi yako, nitakochokufanya dunia itafumba macho.

Huwezi kunidharau nikakupa nafasi hata dakika moja kamwe
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mdada ana pesa zake za kutosha tu, yule dada alinizidi umri miaka 8 ila kwa miaka 2 niliyokua nae ktk mahusiano nili enjoy sana na nilikua huru sana. Alikua ananisikiliza kama mume, nilimshauri akanunua viwanja akafungua biashara zake (kabla ya hapo alikua anachezea tu pesa kwa kugawa kwa ndugu)...
Alikua akipanga twende tukale bata tunaenda kula bata hadi kuku wanaona wivu nilichokua nampendea pesa alikua ananipa nishike mimi kwahio ikija bill nalipa mimi (alikua anafanya hivyo ili nisijihisi mnyonge inferior) shopping pia ilikuwa hivyo hivyo pesa ananipa, nilikua muaminifu sana ikibaki Chenchi namrudishia japo alikua hatak mimi nilikua namuwekea ktk dressing table yake... Kwa wiki kunipa laki1 ilikua ni jambo la kawaida kwake... Kwa kuwa nae miaka 2 kiukweli alinibadirisha kimaisha na kifikra maana alikua na akili za maisha ila alikosa mtu wa kumpush azitumie vipi akil zake...
Ninachotaka kusema hapa wapo wanawake wachache sana, narudia tena wachache sana wenye akili kama za huyu dada... Wanawake wengi wakiwa na hela wanajiona wamemaliza maisha wanadharau waume zao mwisho wa siku wanaishia kuwa single maza na wanaishi kwa stress... Asikudanganye mtu wanawake wenye pesa na hawana waume wana stress kinoma wanajiona wanagundu...
 
Back
Top Bottom