Uzoefu wako baada ya kuachana na mpenzi wako uliyekuwa unampenda sana

Mi nna rafiki wangu mwenye asili ya kiasia,muhindi,jamaa alifall sana kwa msichana m1 hvi,naye pia alikuwa muasia,babake mzazi pia,alimpenda xana yule binti,wote wakiamini alikuwa ana tabia nzuri,innocent,jamaa akaoa,siku ya 3 mwanamke akatoweka ghafla,alitoroshwa kwenda uk,na boyfriend wake wa zamani toka primary,yule jamaa akakaa week bila kumwambia mtu,siku alipoenda kwao,kumwambia babake,alizimia na kufariki hapo hapo,na kufariki kwa pressure,jamaa anachukia wanawake,amefall na pombe,anakunywa tu kwenda mbele,mapenzi mhh

kuna wengine majini jamani,sasa huwa uongo kwenye mapenzi upo lakini kiwango cha uongo kama hicho nadhani ni level za shetani mwenyewe hasa ukiangalia product yake,devastating kwa kweli imenitouch sana!
 
Back
Top Bottom