nesto lee 360
Member
- Jul 2, 2016
- 19
- 19
- Thread starter
-
- #21
Unaweza kuprint kwa kutumia transfer papers yaan, unaprint artwork yako kwenye hizo aina za paper then ila paper unaweka juu shat, alafu una press kwa heat juu ya hiyo karatasi basi ila art work yako itakuwa imeamia kwenye shati lako.Hv l805 inaprint tshirt? How?
Inaprint maandishi kwenye T,shert, ndo nilikuwa namaanishaHv l805 inaprint tshirt? How?
Nimeelewa content yako brother. Ndio nikauliza unafanyaje? Coz hapa nipo nayo huwa nazitengeneza lakini sikuwahi kujua hili. Maelekezo tafadhaliInaprint maandishi kwenye T,shert, ndo nilikuwa namaanisha
Ipo hivi unaandaa maandishi yako ambayo ylisha kwisha yaedet kwa computer harafu unasett T,shert yako kama vile unavyosett karatasi kwa size yake kwenye printer kuna kipenyo chaNimeelewa content yako brother. Ndio nikauliza unafanyaje? Coz hapa nipo nayo huwa nazitengeneza lakini sikuwahi kujua hili. Maelekezo tafadhali
Acha kukariri mimi nina canon ir 22000 na pia nina xero moja kati ya printer imara hata canon ir haifiki ni xero sema nchi yetu bidhaa flani ikitangulia sokoni basi watu wana kariri acheni kukariri na kujidai mnajua
ACHA KUJITAFUTIA USUMBUFU MBELENI,
NUNUA CANON IR 2206
UTULIE.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Acha kukariri mimi nina canon ir 22000 na pia nina xero moja kati ya printer imara hata canon ir haifiki ni xero sema nchi yetu bidhaa flani ikitangulia sokoni basi watu wana kariri acheni kukariri na kujidai mnajua
Acha kutisha watu canon ngapinwatu wamefunika shuka ,hazitengenezeki kila kitu kinaweza kufikia hatua kisitengenezeki ila printer ambazo ziko hot sokoni kwa sasa ni Xero huo ndio ukweli ninswala la muda tu
IKIPATWA NA CHANGAMOTO NDOGO TU,
UNAIFUNIKA SHUKA MAZIMA HIYO.
TRUST ME.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
paper ni zile zile za kawaida ila ukiwa na 2M unapata canon nzuri tu.kuna mtu kuna mtu kanimbia garama zake za wino na paper ziko juu.
Bei gani hii mkuuAsanteni kwa mawazo nishavuta xerox 7225 embu nisubili matokeoView attachment 2064371
Vp kuhusu l805 nayo inachukua sekunde 14 kuprint?Hii naitimia kuprint Cd, Id, Picha ila kaz kubwa inatake time coz inaprint page moja kwa sekunde 14 approximation page 6 kwa dakka hiyo xerox nimeona kwa dakka naweza print page 25
Hautajutia. Nilikuwa nayo xerox work center inaprint page 42 kwa dakika.Asanteni kwa mawazo nishavuta xerox 7225 embu nisubili matokeoView attachment 2064371
Asanteni kwa mawazo nishavuta xerox 7225 embu nisubili matokeoView attachment 2064371
Sidhani kama kuna epson inaprint kwa speed hiyo "standard " labda draft.Vp kuhusu l805 nayo inachukua sekunde 14 kuprint?
IR 2202,2204,2206 hizo zote ni printer zilizo changamka,
ACHA KUJITAFUTIA USUMBUFU MBELENI,
NUNUA CANON IR 2206
UTULIE.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app