Uzoefu wa kufanya manunuzi kivuko.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzoefu wa kufanya manunuzi kivuko.com

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ignorant, May 10, 2011.

 1. Ignorant

  Ignorant Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimekutana na website ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao ya hapa Tanzania inaitwa kivuko. Tanzania Online Shopping gateway. Kwa yeyote ambae amewahi kufanya manunuzi tafadhali atueleze uzoefu wake. Ikijumuisha urahisi au ugumu wa kufanya malipo, muda wa kusubiri bidhaa, nk

  Ahsante
   
Loading...