Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Cha Arusha hakijawahi kumuacha mtu salamaMbona kisa hiki haujakimalizia vizuri?
Huyo aliyerudi Muheza alifanikisha kupata hayo madini, je huyo mwanamke wa kiarabu alipisha baadaye akafanikisha kuyapata?
Na kama siyo, ukanda huo ulijulikanaje kuwa ulisheheni madini?
Maswali yanskuwa ni mengi kutokana na ulivyoiseti simulizi yako kwa mapungufu.
Mbona kisa hiki haujakimalizia vizuri?
Huyo aliyerudi Muheza alifanikisha kupata hayo madini, je huyo mwanamke wa kiarabu alipisha baadaye akafanikisha kuyapata?
Na kama siyo, ukanda huo ulijulikanaje kuwa ulisheheni madini?
Maswali yanskuwa ni mengi kutokana na ulivyoiseti simulizi yako kwa mapungufu.
Oya unazingua ivi Arusha kunamachimbo ya dhahabu au Tanzanite
jamaa yetu baada ya kuvuta mpepe,naona wazo lililomjia ni kama hili lakoHuyo mwanamke wa kiarabu naye alikuwa frontline, kabeba sululu kama masela....au aliingia tu kuuza sura na kuhanikiza manukato humo shimoni..
Kweli wa unaendana na jina lako umeedit hafu unasema nimevuta kweli . Kuwa na aibu kijana.Mwanza chalii yangu.siyo arusha...ushavuta nini?
Duu AiseeKuna majaamaa wawili huku mtwara walienda kuchimba madini ya lubi huko msumbiji walipambana Sana Lakin hali ilikuwa mbaya wezao machimbo mengine waliokuwa wanatusua lubi wanarudi nyumbani Tanzania wanaanza maisha sasa nao wakaamua kujiongeza kwanini wezetu wanapata na sisi tunachezea njaa wakaamua kwenda kwa babu wa kimakonde huko msumbiji Wakamuelezea kila kitu akawajibu hayo ni mambo rahisi Sana akawambia nendeni mkachimbe chochote mtakachokiona uweni mkiona mjusi piga mende, nyoka, chochote kile wewe piga basi Bana watu wakaenda kupiga kazi wakaingia shimoni piga jembe piga sululu wakamuona mende wakapiga wakaendalea na mzigo mara akatokea mjusi jamaaa Kati yao anataka kupiga tu yule mjusi akageuka sura ya baba ake a Kasema aaaaah baba mwezie akawambia vipi akamwambia huyu baba umuoni. Mwezie mbona huyo mjusi piga bhana akitaka kupiga tu mjusi anageuka sura ya baba ake jamaa akata tupa jembe aka toka nje kutoka nje jamaa akawachizi bahati mzuri watu wakamkamata yule mwezie akawaelezea kwamba tulienda kwa babu fulani wakaenda kwa babu wakamuomba samahani babu akawa samehe.machimbo sio poa
Kweli wa unaendana na jina lako umeedit hafu unasema nimevuta kweli . Kuwa na aibu kijana.
Kumbe ningeqoute uzi woteUnatumia cha arusha au malawi?nataka nigongee chali yangu