Kulwanotes Member Joined Nov 3, 2021 Posts 22 Reaction score 55 Nov 19, 2021 #1 Your browser is not able to display this video.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Nov 19, 2021 #2 Babu mbaya, halafu ametulia ahami kwenye Meza. Kialaza kalichokoza balaa na Smash zake, Babu alipoanza Smash ni moto kisha akammaliza kwa kumdondoshea Kialaza breki ukutani. Kialaza lazima kiuno kimuume siku ya pili, siyo kwa mateso yale
Babu mbaya, halafu ametulia ahami kwenye Meza. Kialaza kalichokoza balaa na Smash zake, Babu alipoanza Smash ni moto kisha akammaliza kwa kumdondoshea Kialaza breki ukutani. Kialaza lazima kiuno kimuume siku ya pili, siyo kwa mateso yale
Kulwanotes Member Joined Nov 3, 2021 Posts 22 Reaction score 55 Nov 20, 2021 Thread starter #3 HARUFU said: Babu mbaya, halafu ametulia ahami kwenye Meza... Click to expand... 😅 Kuna ukweli mkubwa katika uhalisia wake.
HARUFU said: Babu mbaya, halafu ametulia ahami kwenye Meza... Click to expand... 😅 Kuna ukweli mkubwa katika uhalisia wake.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,780 Reaction score 184,635 Nov 20, 2021 #4 Hakika, experience matters...