Uzinzi, Ulevi wa pombe na kamari vimeleta maumivu makubwa Kwa wanaumme wengi Sana

Naandika hivi vitatu ambavyo ni starehe zinazoleta maumivu na umaskin mkubwa Sana kwenye maisha ya wanaumme tulio wengi

Nianze na uzinzi. Mwanaumme mzinzi hutumia pesa nyingi sana kwenye huu ushenzi wa uzinzi. Hupata Hela wakat mwingine Kwa shida Sana hata kuhatarisha maisha. Lakin Hela nyingi huteketea kwenye uzinzi. Huwazi kufanya vitu vya kimaendeleo. Kama vile kujenga. Kusomesha watoto. Kuweka aseti..

Hasara za uzinzi.
Kupata magonjwa.
Kutelekeza familia.
Kutosomesha watoto.
Kufa mapema.
Kufilisika.
Familia kuish maisha duni.
Mikosi kwenye family
Watoto wa mitaan
Ndoa kuvunjika
Mauaji.

Ulevyi wa pombe. Hii ni starehe inayopukutisha Hela za wanaumme. Wanaumme wengi tunapata pesa Kwa shida Sana ila tukishazipata zote huishia kwenye ulevi wa pombe. Hapa nitatoa mifano ya wanaumme wanaomalizia Hela kwenye ulevi. Wachimbaji wa madin wadogo wanaoingia duarani. Siku duara likitema. 90% watatumia pesa kwenye pombe Hadi ziishe ndo warud Tena duarani kichimba Tena.
Wavuvu wa samaki. Watashinda usku kucha Majin wanapambana na upepo mkali na barid ila asubuhi BAADA ya kuuza samaki wataingia kumwagilia moyo Hadi jion Tena.
Boda Boda nao wamo.

Hasara za ulevi wa pombe kupita kiasa.
Kufa mapema.
Magonjwa
Huleta umaskn kwenye familia
Kutelekeza familia
Watoto kutosoma
Hela kuishia kwenye ulevi.
Kukosana na ndugu na marafiki
Ugomvi.
Ndoa kuvunjika.
Watoto wa mitaan.

Starehe ya mwisho ni kamari. Kamar Kwa vijana wa kiume imekuwa ni janga la taifa. Vijana hatufanyi kazi tunasubiria kubeti. Matokeo yake Hela zote huishia kwenye kamari. Hizi ndo aina za kamar. Mabonanza ya wachina haya yamefilisi watu hasa huko vijijin na kitajirisha wachina.

Betting ndo usiseme. Mjini asabuhi kumbe za betting hujaa mapema Sana. Matangazo ya kuvutia kwenye runinga na radion huvutia mamilion ya vijana Kwa kuhamasisha utajiri. Matokeo yake campuni za betting ndo zinatengeneza mabilionea Kila siku Kwa kutumia ujinga wetu.

Karata nazo zimo.kwa wanaumme kuliwa pesa Kila siku Kwa kupitia starehe hii.

Hasara za ulevi wa kamari
Umaskin kwenye familia
Kutelekeza familia
Watoto kutokusoma
Kumaliza Hela na asaert
Kushindwa kujiwekea asaert yoyote Ile
Migogoro kwenye familia yako
Ndoa kuvunjika
Watoto wa mitaan.

Hizi starehe tatu Nina mifano hai Toka kwenye familia yetu. Ukoo wetu na jamii ninayoishi.

Hivyo basi ombi langu Kwa wanaumme wenzangu tupunguze hizi starehe Ili tujenge msakabali Bora wa maisha yetu. Na familia zetu Ili ziwe na maisha mazur.

Mungu wetu wa mbingun atusaisie. Na kila mmoja wetu aweze kupambana na huu ulevi na kuushinda
Iyo ya ya 3 hatar mkuu
 
Humu duniani kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa kiasi, ukiweza kumudu "temperance" hutapata shida hata kidogo kwenye maisha yako.

Yaani hata kupiga mkono, ikiwa kwa kiasi wala hakuna wa kukupa shida duniani, ukiwa na starehe ya uzinzi, kama unafanya kwa kiasi wala hakuna wa kukusumbua, likewise pombe.

Ila ukikosa kiasi, hata kula tu itakuwa tatizo kwako, hata kunywa maji tu itakuletea shida ya afya, hata kulala tu itakuwa too little/much hivyo kuathiri uchumi wako.

Have temperance, that's it.
 
eti unywi pombe, sio mzinzi, kamari hutaki, umekuja duniani kufanya nn sasa? halafu ukute watoto wanasoma saint kayumba zilizochangamka, the so called english medium, kuna jamaa anasomesha mtoto wake feza kwa kubet, aliponiambia sikuamini ila baada ya kunifafanulia niliamini,
Mjini shule
 
Mara nyingi hapa jukwaani nimekuwa Nikiwaambia watu kuwa POMBE haijawahi kuwa shida..Ila shida Ni kwa mtu mwenyewe...

Humu jukwaani Kuna wadau mbalimbali Wanakunywa POMBE na hazijawahi kuwaletea matatizo wapo wengi tu Tena na heshima zao...

Shida Ni MIS_USE OF ANY DRUGS lazima ikuletee shida ""ADDICTION""" Ni mbaya Sanaa
 
Ngoja nitie neno hapa..

Mara nyingi hapa jukwaani nimekua Niki waambia watu kua POMBE haijawai kua shida..Ila shida Ni kwa mtu mwenyewe...

Humu jukwaani Kuna wadau mbali mbali Wana kunywa POMBE na hazijawai kuwaletea matatizo wapo wengi TU Tena na heshima zao...

Shida Ni MIS_USE OF ANY DRUGS lazima ikuletee shida ""ADDICTION""" Ni mbaya Sanaa
Miaka nenda rudi tunakunywa pombe wala hatuna shida na mtu na hatujawahi kufirisika wala kutelekeza familia.
 
Ndio hapo Sasa
POMBE haijawai kua shida
Tatizo Ni kwa mtu mwenyewe tusisingizie POMBE

Kwanza inabidi mtu ajue alcohol persistent YAKE vizuri Sana then hutakiwi ku OVERDRINKING Kuzid alcohol persistent YAKE

Hii Ni principal nzuri kwa ma underground na watu wenye msongo wa mawazo..

Unatakiwa uwe na kumbukumbu ya mwenendo wako sio unakuja kusimuliwa vituko mtu alivyo fanya alafu hakumbuki..
 
Naandika hivi vitatu ambavyo ni starehe zinazoleta maumivu na umaskin mkubwa Sana kwenye maisha ya wanaumme tulio wengi

Nianze na uzinzi. Mwanaumme mzinzi hutumia pesa nyingi sana kwenye huu ushenzi wa uzinzi. Hupata Hela wakat mwingine Kwa shida Sana hata kuhatarisha maisha. Lakin Hela nyingi huteketea kwenye uzinzi. Huwazi kufanya vitu vya kimaendeleo. Kama vile kujenga. Kusomesha watoto. Kuweka aseti..

Hasara za uzinzi.
Kupata magonjwa.
Kutelekeza familia.
Kutosomesha watoto.
Kufa mapema.
Kufilisika.
Familia kuish maisha duni.
Mikosi kwenye family
Watoto wa mitaan
Ndoa kuvunjika
Mauaji.

Ulevyi wa pombe. Hii ni starehe inayopukutisha Hela za wanaumme. Wanaumme wengi tunapata pesa Kwa shida Sana ila tukishazipata zote huishia kwenye ulevi wa pombe. Hapa nitatoa mifano ya wanaumme wanaomalizia Hela kwenye ulevi. Wachimbaji wa madin wadogo wanaoingia duarani. Siku duara likitema. 90% watatumia pesa kwenye pombe Hadi ziishe ndo warud Tena duarani kichimba Tena.
Wavuvu wa samaki. Watashinda usku kucha Majin wanapambana na upepo mkali na barid ila asubuhi BAADA ya kuuza samaki wataingia kumwagilia moyo Hadi jion Tena.
Boda Boda nao wamo.

Hasara za ulevi wa pombe kupita kiasa.
Kufa mapema.
Magonjwa
Huleta umaskn kwenye familia
Kutelekeza familia
Watoto kutosoma
Hela kuishia kwenye ulevi.
Kukosana na ndugu na marafiki
Ugomvi.
Ndoa kuvunjika.
Watoto wa mitaan.

Starehe ya mwisho ni kamari. Kamar Kwa vijana wa kiume imekuwa ni janga la taifa. Vijana hatufanyi kazi tunasubiria kubeti. Matokeo yake Hela zote huishia kwenye kamari. Hizi ndo aina za kamar. Mabonanza ya wachina haya yamefilisi watu hasa huko vijijin na kitajirisha wachina.

Betting ndo usiseme. Mjini asabuhi kumbe za betting hujaa mapema Sana. Matangazo ya kuvutia kwenye runinga na radion huvutia mamilion ya vijana Kwa kuhamasisha utajiri. Matokeo yake campuni za betting ndo zinatengeneza mabilionea Kila siku Kwa kutumia ujinga wetu.

Karata nazo zimo.kwa wanaumme kuliwa pesa Kila siku Kwa kupitia starehe hii.

Hasara za ulevi wa kamari
Umaskin kwenye familia
Kutelekeza familia
Watoto kutokusoma
Kumaliza Hela na asaert
Kushindwa kujiwekea asaert yoyote Ile
Migogoro kwenye familia yako
Ndoa kuvunjika
Watoto wa mitaan.

Hizi starehe tatu Nina mifano hai Toka kwenye familia yetu. Ukoo wetu na jamii ninayoishi.

Hivyo basi ombi langu Kwa wanaumme wenzangu tupunguze hizi starehe Ili tujenge msakabali Bora wa maisha yetu. Na familia zetu Ili ziwe na maisha mazur.

Mungu wetu wa mbingun atusaisie. Na kila mmoja wetu aweze kupambana na huu ulevi na kuushinda
Then tell us what is meaning of life!
 
ASHUHUDA MAHARA YA ULEVI
mm nimekuwa mlev kwa zaidi ya miaka.10 sasa.

Nimejenga nyumba kwa shida nikijifanya sehem ya hela napata bia...

Nimeshindwa hata kununua samani ndani kwangu kama ofisi ya mtendaji kata. Haina hata kiti cha maana. Skimming imenishinda. Pombe na umalaya umeniponza.

Angalia.watoto.sasa nguo ni za miaka mingi..zimechakaa kabisa. Sijawanunulia nguo mpya kitambo sana. Maskin hawawez kusema. Nimiangia Inaniuma sana.

Nimekosana na jamii hainijeshim tena. Awali nilikuwa naheshmiwa sana. Mbaya zaidi majirani ninaolewa nao hutangaza kwa wake zao. Wake zao hutangaza wakati wakisukana na habari zinaenea.

Nimemshushia heshma mweza wangu. Japo simwambii lkn naona kabisa.

Sasa nimebadilika
Sinywi na mtu.
Nanua mahitaji
Nanunua nguo
Hawanioni oni hadi wanaulzia.
Naona heshima inarejea.

Kwa sababu nina 39 juzi nilisikia maisha huanzia 40
 
Mkuu,
Falsafa nyingi za watu WANAO weza itawala POMBE Ni Kama ifuatavyo unakunywa for recreation purpose Kama wazungu ( unakua na kipimo chako) kampani za ajab ajab achana nazo penda familia YAKO ijali sanaa
 
Back
Top Bottom