Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Kuna watu uzinzi unatutesa Sana, na ndo tunaongoza kwa kuipenda Sasa, na tukiweza kudhibiti hapo hata mafanikio huja kwa urahisi kabisa
Pole mkuu. Ukiamua kwa dhati unaweza kuepukana nao. Ingawa kwa sehemu ni lazima na Mungu aingilie kati.
 
Wewe waonaje kwani!? Ni pastor au ni nukuu!!????
Nimeuliza swali, badala ya kupewa jibu nami naulizwa 😳

Mpendwa ingefaa ujibu swali langu kwanza ndipo uniulize na mie, kuwa muungwana mpendwa.
 
Ni kweli usemayo.
Haiwezekani Mungu aumbe tendo tamu hivyo tena lenye hisia nyingi halafu useme ni dhambi ya mauti.
Ametuwekea matamanio ya hali ya juu na kusababisha kushindwa kuvishinda vishawishi halafu leo liwe tendo baya kiasi hicho...je alivyotuumba hakuujua udhaifu wetu au anatufanyia kusudi?
 
Sawa Bibiye
 
Mkuu, umesema wazinzi wataadhibiwa wakifika mbinguni?
 
Kuna watu uzinzi unatutesa Sana, na ndo tunaongoza kwa kuipenda Sasa, na tukiweza kudhibiti hapo hata mafanikio huja kwa urahisi kabisa
Wee vipi tena...huo uzinzi ndio tyati mafanikio yenyewe au wee mafanikio ni kuwa na majumba na magari?
 
Shukrani kwa ufafanuzi pia katika ZABURI 33:1 imeandikwa "Mpigieni BWANA vigelegele, enyi wenye haki, Kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo" je mtu anaposifu na kuapoabudu akiwa anajijua ana dhambi na hajatubu hiyo ni kufuru au sio kufuru.
 
hahaaaaa hua nacheka sana nikicheki movie(MISSING IN ACTION) CIA FBI wanakua sehemu ya kuungama dhambi zetu
Yote sawa tu maana huko zamani wana wa israeli walikuwa 'wanaungama' kwa kuweka dhambi kwa mbuzi mbele ya kuhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…