Uzinzi ni dhambi ya mauti...

Jina tu unamind kinyama tafikiri huyo yesu ulishawahi kumuona hata!..😂
Wewe unayempenda umewahi onana naye? Acha kuponda watu wazima dogo ilihali bado hujamwona Yesu, wahenga tupo tunadunda na Mwokozi wetu.
 


UFUNUO 2:20-21
20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
22 Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
23 nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.


MITHALI 6:32
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

WALAWI 20:10
10 Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
 
[emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Ubarikiwe sana mama D
 
Kwa hiyo wewe ni pastor au umenukuu tu maandiko?
 
Sipingani na wewe ila kwa nini mungu akibariki Suleman kuwa na michepuko mingi?
 
Hapo kwa uelewa wangu...swala sio maombi au blah blah zozote zile.. Bali ulikua na urge ya kutaka kubadilisha lifestyle yko kwa muda mrefu but you lacked courage(hukua tayari kubadilika) but now you have it(sasa uko tayari kubadilika)... One thing that doesn't change is changes itself we ain't static...

Kwa kua umeshachagua lifestyle mpya Lean humo lowea humo and u'll never go back ..kwasabab lifestyle hio it's not quite interesting ata biblia imesema hivo..

Fanya uoe.
 

Uko sawa lakini kwenye hiyo "dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu" umetupiga!
hahaaaaa hua nacheka sana nikicheki movie(MISSING IN ACTION) CIA FBI wanakua sehemu ya kuungama dhambi zetu
 
Mimi ninachojua ni kuwa binadamu (hasa mwenye akili timamu) kuna muda huwa anafanya mabadiliko kwenye aina ya maisha anayoishi, akiona kitu hakina faida kwake anaanza mchakato wa kukibadilisha au kukitoa kabisa,. Huwezi kuniambia kuwa umekoka ndio umeona hasara na hizo nuksi , sema kwako hujaona faida umekuwa na kuchagua njia nyingine uliyoona ni sahihi zaidi, mbona kuna wazinzi wengi wana maisha safi tu ..
 
Kuna watu uzinzi unatutesa Sana, na ndo tunaongoza kwa kuipenda Sasa, na tukiweza kudhibiti hapo hata mafanikio huja kwa urahisi kabisa
 
Nimependa ulivyomalizia mkuu, "Fanya uoe".

Swala siyo kuoa tu, bali nimpate wa kufanana naye pia. Mungu akawe pamoja nami ili anipe macho ya rohoni kumtambua mwenza wangu.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…