Uzinzi ni dhambi ya mauti...

mkuu hata mm amri nyingine zote najitahidi kuziishi ila hii huwa inaniangusha mara kwa mara.. Mungu atupe neema ya kushinda dhambi ya uzinzi
Amen! As long as umekiri, basi Mungu atajidhihirisha kwako. Usichoke kuomba mkuu.
 
Samahani lakini cjasoma uzi wote maana unanichosha ....umesema kitaaluma ni mwanasheria na umesema umri wako ni kwanzia 30....37 .... kama wewe mwenyewe umri wako haujui huoni inatupa sisi nafasi ya kusema hujielewi mkuu ... tupe umri wako halisi kwanza tuanzie hapo
 
Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti .....mbona wewe ume categories kwenye uzinzi
 
Hongera sana kuokoka na kuachana na mambo yasiyofaa mbele za Mungu.
 
"...umri wangu ni kati ya miaka 30-37.., kwa kingereza ni "in between 30-37", hakuna mahali nimesema/nimeandika, .."kwanzia 30...37...". Jifunze kutuliza akili kabla ya ku-comment.

By the way, Kiswahili sanifu ni;
kuanzia[emoji736] na siyo
kwanzia[emoji735].
 
Biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti .....mbona wewe ume categories kwenye uzinzi
Umesema hujasoma uzi wote halafu umesha-conclude! Huenda jibu la swali lako lipo kwenye content ya uzi wangu.

Now I have come to a conclusion that EVEN COMMON SENSE IS NOT COMMON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…