Habari zenu wanajamii . Hivi karibuni kwenye mwezi wa nane nilienda kwa shangazi yangu morogoro kumsalimia kwani nimuda mrefu hatujaonana yapata miaka kama mitatu hatujaonana. Nilivyofika kituoni morogoro nilipokelewa vizuri na shangazi yangu na alikuwa kabadilika sana kwani alikuwa kanawiri tofauti na alivyokuwa dar es salaam, pale kituoni shagazi alikuja na msichana mmoja mrembo sana ambaye alikuwa kimya tu muda wote mimi nikisalimiana na shangazi yangu, kiukweli nilivutiwa sana na yule mrembo kwa kuwa na sura nzuri na umbo la kuvutia na hapohapo nikaisikia sauti yake tamu na ya upole pale shangazi aliponitambulisha kwake kuwa yule dada ni mtoto wa mumewe ambaye mume wake alizaa na mwanamke wake wa kwanza ambaye alishafariki na hivyo anakaa nae nyumbani. Kiukweli yule msichana alinichanganya sana baada ya kusikia sauti yake na tabasamu lake kwani nilihisi beyonce yuko mbele yangu, alijitambulisha kwa jina moja tu la leila. Hapohapo safari ya kwenda kwa shangazi ilianza na tulichukua kama dakika kadhaa kufika nyumbani hapo kiukweli ile nyumba sitoisahau kwani ni moja ya nyumba za kifahari pale morogoro ambayo anaishi shangazi yangu, nilikaribishwa vizuri na ndani ya wiki moja ya pale nyumbani nilikuwa nishayazoa mazingira ya pale pamoja na mtoto leila kiasi tulikuwa tushazoeana. Shangazi na mjomba huwa kila siku wanakwenda kazini asubuhi na kutuacha watu watatu tu ktk nyumba ile ambao ni mimi,leila pamoja na mfanya kazi, kusema kweli kila siku zinavyozidi kwenda moyo wangu ulikuwa unampenda sana leila na hali ya uvumilivu niliona ishaanza kufika ukingoni na hivyo niliamua nifunguke ya moyoni. Nilivyomueleza ukweli wangu sikupata vipingamizi vingi kama nilivyofikiria kwani alinambia mioyo yetu inafanana kwani hata yeye alishanipenda tangu siku ya mwanzo kabisa alivyokuja kunipokea, basi kiukweli sikuamini macho yangu kujipatia mtoto kirahisi namna ile. Baada ya hapo ilikuwa kila mara lazima tujifanyie mambo yetu yaleeeeee! Siku moja hivi nakumbuka ilikuwa jumatano ambapo shangazi na mjomba walitoka mapema sana kwenda kwenye shughuli zao mimi nilikuwa namwagiamwagia bustani maji waliniaga na kuondoka, baada ya kuondoka tu nilisubiri kama dakika kadhaa niliingia ndani nilivyoingia tu nilimkuta leila nae kashaamka yuko sebulen kavaa night dress tu huku anakunywa chai, kiukweli nilishikwa na hamu palepale sebuleni baada ya kuona vile viwalo vya leila na kusababisha nianzishe kale kamchezo palepale sebuleni,tukiwa ktk hatua ya mwisho cha mchezo wetu mlango ulifunguliwa na alikuwa mjomba sijui alisahau kitu gani mpaka akarudi, kiukweli ilikuwa ni aibu sana kwani mjomba alitufumania live kwenye meza ya mlo tukinong'onoka. Baada ya kugutuka tu kila mmoja alikimbilia chumbani kwake huku nikimsikia mjomba akitukana na kuongea maneno makali. Nilivyoingia ndani tu nilivaa harakaharaka na nilichukua pesa zangu kidogo nilizokuwa nazo na nilichngulia pale sebuleni mjomba alikuwa katoka pale sebuleni na mimi nilitoka mbio nakwenda kwenye kituo cha magari ya dar es salaam nakuondoka bila kuaga. Dhumuni kuu la kwenda kwa shangazi ilikuwa kwanda kumsalimia na pia kupata fedha kiasi ya kunisaidia ktk masomo yangu ila kiukweli nimekosa kila kitu kwani mjomba kasema asiione tena sura yangu akiniona tu lazima niozee jela ukiangalia yeye pia nilitaka nimuombe fedha za kwenda kuanzia chuo. Dah! Najuta! uzinzii umeniponza nimekosa hela kwani mjomba aliniahidi laki sita na hivi niko dar hata ada ya vhuo bado sijapata. Yani majanga kweli