SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi

mkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?
mkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?
Unazidi kujichanganya yeye kama mfanya biashara kama angekua haajiri kwa mujibu wa sifa(angalia post yako #11 ) angefiakje hapo. Huyu mtu ameanza biashara zake tokea miaka ya sabini na kipindi chote hicho amekua akiajili kulingana na mahitaji yake na ndo chachu ya mafanikio yake.
Ninachopingana nawe ni kuwa kwa kuwa ni mfanya bisahara basi anaweza kufanya chochote anachotaka si kweli. Ila naamini ni mtu anayekubali ushauri na ni makini kataika biashara yake. Na sisis wadau wake tutakapoona amekosea hatuzuiwi kuongea. kama kweli amekuwa anatumia kigezo cha dini kuajiri amekosea. Kwa sababu hata wafanyabisahsara haramu hufanikiwa piwa hiyo haiondoi haki yetu ya kukosoa.
Nimependa studio zao zipo kisasa zaidi hongeleni Azam media
nilidhani utauliza nssf kuna wakristo wangapi, jaribu kufatilia nssf ina waislam wangapi na wakristo wangapi.Aubona haulizi kuwa dr dau ameajiri wAkristo wangapi
Hivi huyu Barharesa anaweza kuongea kweli
Mbona amekaa kizezeta namna hiyo Au ni mgonjwa?