Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
tunahitaji serious investors ambao ni watanzania na wataajiri wafanyakazi wa kiwango cha kati
Kwani azam anaajiri wageni?
Umenena mkuu!wengine ni kutafuta sifa tuu eti wamesaidia jamii kwa kuwapa ubwabwa diamond ukiuliza ajira,kodi anazolipa hakunaMatajiri wengine hapa Tz wanalewa zaidi na sifa ni tofauti na huyu Bahresa yeye anatafuta mahitaji ya jamii na kuyatatua.
Tido Mhando ni muislam?mbona huulizi kwanini ofisi za LHRC pale kijitonyama waajiriwa wote ni wakristo???nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.
nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.
Tido Mhando ni muislam?mbona huulizi kwanini ofisi za LHRC pale kijitonyama waajiriwa wote ni wakristo???
Mfano umeanzia kwa Tido Muhando natumaini wafanyakazi wataajiriwa kwa qualification.
Wabongo bwana! Hivi mtaacha lini kuwapangia watu cha kufanya, hivi wewe kwa akili yako unaweza kumpangia bakressa jinsi ya kuajili au unadhani lile ni shilika la umma? Yule ni mfanya biashara na kila kitu kwake anaangalia faida kwanza, angekua haajili kwa sifa asingefika hapo aliopfika. Tido ameajiliwa miezi karibu mitatu iliyopita na mtendaji mkuu wa azam media ni mzungu.

Sasa umeeleza tofauti gani na nilivyoeleza? Nililoandika ni tumaini langu kutokana na dalili za kumuajiri Tido. Pamoja na kuwa mfanyabiahsra nchi na jamii huwa zina utaratibu wake. Kuwa mfanyabishara si kigezo cha kufanya chochote anachotaka! Kungekuwa hakuna utaratibu angeweza kuamua kuajiri wafanyakazi wote waarabu kutoka uarabuni!