Uzinduzi wa phantom 6 ulivyokuwa wa aina yake

Uzinduzi wa phantom 6 ulivyokuwa wa aina yake

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
284
Reaction score
396
Uzinduzi wa Phantom 6 jijini Dar es Salaam ulikuwa ni wa Aina yake kutokana na umati mkubwa kufurika na kuwepo kwa burudani nyingi zilizotumbuiza.
fetch


Watu walipanga foleni ndefu kwenye mistari ili kujiwekea utaratibu mzuri na kila mmoja aweze kuifikia Phantom 6 na kutuliza kiu yake ya kumiliki simu hii 'amazing'
fetch


Katika uzinduzi huo wa TECNO PHANTOM 6, Pia ulichezeshwa mchezo wa bahati na sibu (Lucky Draw) ambapo zawadi kemkem zilishindaniwa kwa wote walionunua Phantom6, hata hivyo zawadi kubwa kabisa ilikuwa ni Kamera ya kupaa (Drone Camera) na kufuatiwa na TECNO WinPad10.
fetch


Tukio la uzinduzi wa Phantom6 lilinogeshwa zaidi pale washindi wa zawadi kubwa walipotangazwa. Washindi walikuwa wawili kama wanavyoonekana pichani huku kila mmoja akiwa ameshika zawadi yake.Washindi hawa hawakuamini kama kweli wameshinda. Walipokuwa wakishuhudia, waliuhakikishia umati kuwa hizi bahati na sibu za TECNO ni za kweli kwani hata wao walidhani kuna mshindi maalum amewekwa tu. Lakini ukweli ni kuwa hakuna jambo kama hilo na kusisitiza kuwa ni vizuri kushiriki bila kuwa na hofu.
fetch


TUNAWEZA KUSEMA PHANTOM 6 'NEVER SAY IT SHOW IT' MILIKI YAKWAKO!!
 
Hiyo bei itashuka tuuu, mm ntainunua mwakani mwezi wa tatu
 
Kabisa. Huyu jamaa kanjanja sana yaani kaajiliwa na tecno afu anajifanya eti ni bahati kufanya kazi na kampuni kubwa

Analeta utapeli wa kizamani wa kibiashara na aijui kwanini anaogopa kusema kuwa yeye ni Mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom