Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
Maandalizi ya M4C Kanda ya Magharibi (Tabora, Kigoma na Rukwa) yaiva kwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu Kansa Mbaruku kuwaita wawakilishi wa BAVICHA na wazee kupanga namna ya kukamilisha tukio hilo la uzinduzi.
Nitaleta update zaidi stay tune.
UPDATES:
- Watakaoongoza jahazi ni Mh. Saidi Arfi na Mh. Zitto Z. Kabwe pia wabunge wa viti maalum watakuwepo.
- Baada ya Uzinduzi siku ya Jumamosi tarehe 23/02/2013 siku inayofuata ya Jumapili M4C inavamia kwa Mzee Sita kwenye ofisi ya spika asiye spika.
- Uzinduzi wa kanda ya magharibi uliokuwa ufanyike kesho jumamosi tar. 23/02/2013 umeahirishwa kutokana na Mwenyekiti wa taifa Mh. Mbowe kuomba kushiriki hivyo siku zimesogezwa mbele hii ni kutokana na mikakati ya kubomoa ngome ya CCM katika mkoa wa Tabora. Lini uzinduzi utafanyika nitawaletea update baada ya kwenda ofisi ya CHADEMA mkoa.