Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Wewe Masalia Utajulia wapi? Haikuhusu na huwezi ona chochote kile, Komaa na Magamba wenzenu
sasa haya ndio majibu gani? kama wewe umeona si unanisaidia tu kunielewesha haya mambo ya kuitana masalia mala magamba yanatokea wapi? kwa nini hatutaki kuembrace freedom of expression? mnataka kuipeleka wapi hii nchi jamani? mtu ukiuliza kitu unatukanwa, ndio democrasia hii kweli?