uzinduzi wa lumia 925 live + mambo mengi ya nokia

uzinduzi wa lumia 925 live + mambo mengi ya nokia

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,418
event imeisha na hivi ni baadhi ya vitu muhimu vinavyopatikana kwenye hii lumia mpya 925

nokia smart camera hii ni feature mpya ya camera ya nokia ambayo picha inapigwa ndefu (kwa muda kidogo) halafu unachagua picha iliotoka vizuri. feature hii nimeiona ni nzuri zaidi kwa wanamichezo kwa action kama penalti, kupiga free kick na mengine mengi. hebu tuone mfano

947057_10151653087655152_463362129_n.jpg

kama inavyoonekana huyo jamaa wa skate anaruka ndani ya picha moja unakua na vivuli vingi then unachagua picha best zaidi ndio inakaa.

new design kwenye lumia moja kati ya vitu ambavyo watu walikua wanavilalamikia ni kuhusu lumia 920 kutumia plastic, kua nene na nzito nokia wameidesign catwalk ni nyembamba imetumia metal na ni nyepesi.

919602_10151385666612397_2046909235_o.jpg

strong antenna
nokia wanasema simu hii inauwezo mkubwa wa kukamata mawimbi na hivyo vyuma vyote unavyoviona pembeni ya simu ni antena hii itakua ahueni maeneo ya watu ambao net signal zake ni ndogo

spika zenye quality kubwa zaidi
kama mtakumbuka lumia 928 iliyotangazwa juzi ilikua ndio simu inayorikodi kwa quality kubwa kushinda zote duniani ikiwa na uwezowa kurikodi kwa 140db soon tutaona review video

apart from that sidhani kama kuna kipya new bottle with old wine.

ila kuna kitu interesting nokia wametangaza kua kutakua na update baadae inaitwa nokia lumia amber ambayo italeta fm raDIO kwenye nokia lumia zenye wp8 pia update hiyo italeta features zote za lumia 925 kwenye device ndogo hii inamaana hadi lumia 520 (simu ya chini ya laki 3) itapata smart camera na vitu vyengine
 
hii device imesimama,kitu nokia wanaboa kila app ambayo ni nzuri nzuri kwenye store wanauza.
 
sjaona app ya nokia inayouzwa can you mention few?

app zote wametangaza ni bure unaangalia event?

Labda kwa win 8 based devices ila os nyingine,anna, bele,games kama fifa, u dont get them for free,kwa uchunguz nilioufanya nokia store hata theme ikiwa nzuri kidogo tu unakuta inauzwa sijui kama umeshaona hii kitu.
 
mkuu ni os zote magame kama fifa yanauzwa na ukiona la bure ni la kuchakachua kitu ambacho ni kinyume na sheria.

na ukiona kitu cha kulipia kinaekwa bure ujue kina matangazo ndani yake.

magame hayatengenezwi na os bali yanatengenezwa na makampuni kama gameloft. unakuta mfano gameloft anatengeneza game real-football basi game hilo hilo analiport wp, ios na android.

kwenye wp nokia amejitahidi ana collection yake special ambayo mtu wa nokia tu anaiona kuna apps zaidi ya 50 za ukweli ambazo zinakufanya uchoose nokia instead ya simu nyengine
 
chief-mkwawa mbona nasikia tu sauti lakini picha siioni nipo kwenye pic na nimetumia link ya kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kitu kipya kwenye hii device ni uboreshaji wa lens tu lakini sioni kitu kipya zaidi ya hicho, labda wale walioona vitu vingine vipya waje watuwekee
 
Unless simu ina Toa bia siwezi lipia simu zaidi ya Laki
 
Unless simu ina Toa bia siwezi lipia simu zaidi ya Laki
Mkuu kila mtu na utashi wake..we upo hivyo ila kuna mahala unatoa hata milioni its all about interest! Nina jamaa yangu yeye hanywi pombe na wala si mtu wa mademu ila akiingia kwenye mishkaki tu anamaliza hadi elfu 50! Yeye kulakula ndio fani take..hakuna restaurant kubwa asiyoijua mjini hapa..kulipia mlo mmoja elfu 50 au laki kwake si kitu!

Hivyo naweza mfananisha Na wewe!
 
Kitu kipya kwenye hii device ni uboreshaji wa lens tu lakini sioni kitu kipya zaidi ya hicho, labda wale walioona vitu vingine vipya waje watuwekee
nime update thread. mkuu lens ndo ile ile ya lumia 920 na 928
 
chief-mkwawa mbona nasikia tu sauti lakini picha siioni nipo kwenye pic na nimetumia link ya kwanza

Nokia hawana kitu mkuu walizindua lumia 920 kwa mbwembwe kama hivi haina lolote, nimenunua nikatumia wiki 2 nikaweka kwa droo, nokia bado sana hizo.windows ndio. Wamecshemsha
zaidi,
Mambo yte xperia z,
Hyo style ya pic wamecopy toka experia z wanayo hyo unaweza piga pic 1000 ndani ya dk 1 yaan sec 60 sijaona kipya nokia
 
Kila mtu mtu na maoni yake lakini unapokuja kwenye ishu ya camera nokia ndio king hilo halina ubishi.

So unachukua picha 1000 then what? Unaanza kuchambua best sio. Na how long it take kuchambua picha 1000? Na je nkipiga mara 6 (picha elf 6) nitaenda hata kazini sku hiyo?

Unless umeielezea vibaya au umeongea kitu kisicho na maana. Feature za nokia za camera ndo zime inspire htc zoe (kwenye htc one) na drama shot (galaxy s4) so lumia rules.

Then kuhusu wewe kuwa na 920 either huna au na kama unayo ulinunua kwa kukurupuka bila kujua unanunua nini
 
Usijitoe akili nimesema ndani ya dk 1 unapata picha 1000 inategemea na ww umeshika ile button ya pic kwa muda gani, kama ukishika ten sec maana yake utapata pic kulingana na muda wako,

Halafu tulikwenda na wewe dukani wakati nanunua nishindwe kujua na nini?
Halafu simu fahamu ni kitu cha kawaida mtu kumiliki sioni ajabu mtu kuwa na lumia
 
Nokia hawana kitu mkuu walizindua lumia 920 kwa mbwembwe kama hivi haina lolote, nimenunua nikatumia wiki 2 nikaweka kwa droo, nokia bado sana hizo.windows ndio. Wamecshemsha
zaidi,
Mambo yte xperia z,
Hyo style ya pic wamecopy toka experia z wanayo hyo unaweza piga pic 1000 ndani ya dk 1 yaan sec 60 sijaona kipya nokia

Mkuu hizo data umetoa wapi?? Katika ulimwengu wa leo hakuna simu inaweza shindana na Nokia likija suala la Camera.
 
Sony xperia s camera mp 12 sony xperia z mp 13 nipe za nokia
 
Usijitoe akili nimesema ndani ya dk 1 unapata picha 1000 inategemea na ww umeshika ile button ya pic kwa muda gani, kama ukishika ten sec maana yake utapata pic kulingana na muda wako,

Halafu tulikwenda na wewe dukani wakati nanunua nishindwe kujua na nini?
Halafu simu fahamu ni kitu cha kawaida mtu kumiliki sioni ajabu mtu kuwa na lumia

Mkuu hujaelewa hapa hebu eka mind yako sawa sawa elewa.

1. Kwenye lumia haipigi picha nyingi bali frame nyingi inamaana same background then object za mtu zinakua kama 6 hv unachagua nzur ukitaka unaeka zote sony huwez unless uingize kwenye soft ya image editing

2. Hii smartcamera inaonesha movement ulipotoka na unapoenda,

3. Ina autofocus inayofanya everything blur kasoro object

Hii ni smartcamera tu kuna vitu existing kama cinema graph ambayo nshaiongelea humu inafanya camera ya lumia kuwa best kwenye features

Ukija hardware ndo camera ya kwanza kutumia lenzi 6 best in low light na optical image stabilization

Mkuu jiulize swali kama lumia 920 imeishinda sony xpria z je huyu 925 ambaye yupo improved
 
Mkuu kila mtu na utashi wake..we upo hivyo ila kuna mahala unatoa hata milioni its all about interest! Nina jamaa yangu yeye hanywi pombe na wala si mtu wa mademu ila akiingia kwenye mishkaki tu anamaliza hadi elfu 50! Yeye kulakula ndio fani take..hakuna restaurant kubwa asiyoijua mjini hapa..kulipia mlo mmoja elfu 50 au laki kwake si kitu!

Hivyo naweza mfananisha Na wewe!

umeamua kunimwaga jf sio?
 
Sony xperia s camera mp 12 sony xperia z mp 13 nipe za nokia

Uwingi wa mega pixel sio ubora wa camera!!!!! Hata nokia n8 Ana megapixel 13 tangu mwaka hio inazinduliwa ila bado haina camera nzur kama nokia lumia 920 coz hii Inatumia technologia ya pureview !!!!! Kumbuka hata htc Mpya camera Yao n 4 ultrapixel
 
Back
Top Bottom