Uzinduzi wa kitabu cha Mpendazoe: Polisi Jamii-Dodoma

Mji mweama hapajawahi kuwa pori, labda unaomgelea karne mbili zilizopita?Huko ndipo anapokaa Mzee Aboud Jumbe na kulikuwa kuna mashamba toka enzi na enzi au mashamba kikwenu ni pori?
Enzi na enzi ipi hiyo wakati ni miaka michache tu iliyopita mapori yalizunguka kamji ka dar es salaam? Karne moja iliyopita kigamboni hakukuwa na mji labda makazi (kijiji) sasa hilo lako linatia shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…