Uzinduzi wa Kampuni ya simu ya HALOTEL Live TBC

Uzinduzi wa Kampuni ya simu ya HALOTEL Live TBC

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
4,556
Reaction score
3,843
Wakuu salaam,

Hebu tujumuike kushuhudia Uzinduzi huu wa Kampuni hii mpya ya simu hapa Nchini. Ni wazi tumenyonywa kiasi cha kutisha na Makapuni yaliyotangulia hapa. Hebu tuangalia hawa wanatuoffer kutu gani? na wana What Something special.

Karibu HALOTEL

BACK TANGANYIKA
 
Duuuh naona hakuna jipya wakuu ngoja niangalie Malumbano ya hoja ITV

BACK TANGANYIKA
 
Ngoja nihamie kwenye hii kampuni labda nitapata nafuu maana lowassa na kampuni yao ya Vodacom wameniibia vya kutosha.mzee hana huruma kabisa huyu.
 
Wakuu salaam,

Hebu tujumuike kushuhudia Uzinduzi huu wa Kampuni hii mpya ya simu hapa Nchini. Ni wazi tumenyonywa kiasi cha kutisha na Makapuni yaliyotangulia hapa. Hebu tuangalia hawa wanatuoffer kutu gani? na wana What Something special.

Karibu HALOTEL

BACK TANGANYIKA

Hawa wavietnam waanze kwanza kuwajali wafanyakazi wao kwa kuwapa mikataba ya kazi inayoeleweka tofauti na hapo nao wanaendeleza wizi tu kwa udhamini was CCM.
 
Ntahamia huko.tigo wezi sana na huduma zao hovyo sana.nataman uje mtandao mwingine unaweza kuwa mkomboz.haya mamitandao ya sasa ya ccm ni wizi kwenda mbele
 
Hii kampuni Inavifurushi vya ovyo kuliko kampuni yoyote Tanzania.
 
asubuhi leo nilipokwenda katika uzinduzi wao hapa singida nikauliza kuhusu gharama za internet wallahi nikajuta,bora kubakia tigo wenye 4g moderm wanauza kwa tsh 25000 kuliko halotel wenye 3g moderm wanauza 35000!!!
 
Mkuu, share with us the bundles they have and prices?!



nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo
ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na
wameiga kale ka katabia ka tigo kusema
kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha
unlimited speed. kwa faida ya wengine
internet siku
-sh 250 utapata mb 50
-sh 500 utapata mb 200
internet wiki
-sh 2000 utapata mb 400
-sh 3000 utapata mb 600
internet mwezi
-sh 2000 utapata mb100
-sh 5000 utapata 1gb
-sh 10,000 utapata 3gb
vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu,
kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited
-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5
mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao
mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.
vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb
kuongezeka toka mb1 hadi 3
1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8
2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60
*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili
hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya
4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms
2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko
kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi
cha 10,000 ni useless
3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na
mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na
mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na
mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na
mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na
gb 1
*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000
unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600
ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000
hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na
maana.
*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote
mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.
nimependa tu hawa jamaa wamekuja
kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka
zamani
je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?
 
Back
Top Bottom