Uzinduzi wa kampeni zangu (kampeni la uhakika)!!!!!!!!! Kwanini nastahili kushindaaaaa!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kampeni zangu (kampeni la uhakika)!!!!!!!!! Kwanini nastahili kushindaaaaa!!!!!!!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by lara 1, Oct 31, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Wakubwa zangu shikamoooni (Wajameni mnipe kura i greet you like every day!)

  Peopleeeeeeeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Niajeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

  My peoples people wa ukweeeeeee, people wa uhakika najileta kwenu kuwaombeni kura zenu kishkajiiii (DONT MAKE ME BEG FOR YA VOTES CAUSE I WILL) sisi sote ni ndugu jamani!!!!!!!! Shukrani zangu za dhatiiii toka uvunguni mwa moyo wangu kwa wote mlionipendekeza, mnaoendelea kunipigia kura zenu i realy appreciate it, I APPRECITE YOU NOT FOR THE SAKE OF JST SAYING IT BUT IT COMES FROM WITHIN MY HEART!!!!!!!!!! I know each and every one of you, na siku ya ushindi NITAWATAJENI MAJINA 1 BY 1. ME, MY MUM TUNAWAKUBALI SANAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!

  WHY VOTE FOR ME!!!!!!!!!!
  1. I love n respect everybody in JF!!!!!!!! I love n respect each n every one of you guys, mainly beacuse you are fighters!!!!!!!! Simlishi Mtu, Simnyweshi mtu bia, Simlipii mtu kodi, Simsomeshi mtu, Kila mtu ANAJIWEKA MJINI why shouldn i love you guys?!!!!!! (Hamnitiii shoti hata kidogo! lol!) Every day i meet you here its like i know you people, like family.

  2. Mie mstaarabu sanaaa, siendagi kwenye thread ya mtu kuchakachua na kujibu utumbo!!!! Nikiona haviniusu napita zangu kimyaaaa. Ukija kuleta ukuda kwa thread yangu NAKUSHAKE WELL BEFORE USE kidogo ili ukae poa!!!!!!(Ukiacha mpinzani wangu wa jadi The Boss ambae malumbano yetu ya hoja hayaishi.

  3. Naanzisha sana Thread za Kuwaburudishaaaaa! Japo smts nawaboa kidogo, si mwajua tenaaa hata vikombe kabatini vyagongana.

  4.Mwaka wote huu napoteza tu chaguzi, kuanzia UWT, UVCCM hadi Ofisini NIPOOZENI KIDOGO WADAU WANGU nakaribia kunywa sumu mjueeeee!!!!!!!!! Alafu itakuwa mlikuwa na uwezo wa kuniokoa ila hamjaniokoa

  5. Nitaleta utamu zaidiii, coz chit chat iko mahala pake haihitaji mabadiliko ila nitaweka sukari zaidiiiiiii.

  6. Bora mnishindishe kihalali coz mi mbiiiiiiishi!!!!!!!!Nitaanza uchakachuzi, kuepusha hili nipeni tu ushindi wa meza!!!!!!!

  7.YANGA (Tupo kileleni babyyyyyy!!!!!!!!), BARCELONA, MANCITY, CHELSEA, ARSENAL, BUYERN MUNICH, LIVER POOL msiniangusheeeee,!!!!!!!! Shabiki mwenzenu.

  8.Nawapendeni wote Old and New Members, nachangia anything as long as its entertaining bila kujali nani
  kaanzisha!!!!


  Siwezi kuwaahidi nitabadilika coz I BELIEVE EVERY BODY SHOULD BE THEMSELVES NO MATTER WHAT!!!!! MIMI NI WENU YULE YULE, NA MAMBO YANGU NI YALE YALE

  *******************ZITAENDELEA*************************************


  "KWA RAHA ZAIDI, URODA ZAIDI, UTAMU ZAIDIII, SUKARI ZAIDIIIII NA MAHABAT ZAIDI NDANI YA CHIT CHAT VOTE FOR LARA 1 (KUBWA LA MAADUI)"

  Join The Winners!!!!!!!!! Big Names, Big Show, Big Time HAPANA CHEZEYAAAAA SAFU YA MAADUI STERLING LAZIMA AFE! !!!!!!!!! LOLEST!" THE DREAM TEAM"
  The Boss,
  BADILI TABIA

  @C 6 ,
  Ciello,
  Watu8,
  manoah,
  mathematics,
  Binti.com,
  Advicer,
  Filipo,
  Eliah G Kamwela
  SnowBall, Android
  Grenade,
  tedo
  sosoliso,
  Anita Baby,
  @Migebon,
  Arushaone
  Ennie
  snochet
  Von Mo
  First lady
  Ukwaju
  UZEE MVI


  NAFASI BADO ZIPOM KWA WATU WA UKWEEEE KUJOIN THE DREAM TEAM JST VOTE FOR LARA 1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unagombea nini kwani?
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Miss chichat banaaaa, Kaniivotie kwnye thread ya miss chitchat nusu fainali
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nshakuvotia mdogo wangu lara 1 ...ila sikujua kama umepiga kampeni...lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  One LOVE!!!!!!!!!
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ha,ha,ha,ha,...........katika siku ambazo JF imenivunja mbavu,ni leo dah?,,,Mi napita tu
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu usisahau kuadd kura za snowite kwa Ciello
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Kura yangu umeipata!
   
 9. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Kura yangu umeipata
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Thanks a lot!!!!!!!!!! Mnama nakuaminia WEWE NI WA UKWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! Lazima Ujoin The Dream Team!!!!!!!!!!!
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hujanitaja hapo juu kwenye thread sikipi kura yangu
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,062
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  You have mine..
   
 13. by default

  by default JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hahah nawewe ni Big Show aka le mutuz ,le baharia wa ma club
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Nivea mama ya kukagua I PAD!!!!!!! Muke ya Bosiiii! PIGA KURA KWANZA NDO UINGIE IN THE DREAM TEAM!!!!!!!! Nivea jina kubwaaaa, lazima likae na BIG NAMES wenzie.
   
 15. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hivi bado kura zinapigwa leo nijibu sasa hivi nikakupigie na ciello baby
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mimi umeniudhi kuitaja yanga tu hapo! Ila natamani kukupigia........
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaa! Nipigie Banaaaa, ILI MKICHUKUA UBINGWA MNISUTE VIZURIIII!!!! lol! CHEZEA OKWIIIIII!!!!! MAFISANGO (R.I.P)
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Kura kama kawaidaaaaa! Wahi wahi hujachelewaaaa! Jembe letu la ukweeee!
   
 19. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Cna swali na nimeshakupigia kura.. Ukishinda tuonane..
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Acha longolongo mingi bibie lara 1. Kam zis wei nikukague. Huezi shinda ile makitu bila kukaguliwa na mimi.

  Na usisahau nna kura ya veto kwenye hii makinyang'anyiro.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...