DodomaTZ
Senior Member
- May 20, 2022
- 161
- 200
Miongoni mwa mafanikio yaliyotajwa ni pamoja na ujenzi na ukarabati wa barabara, ujenzi wa madarasa mapya, vituo vya afya, pamoja na upatikanaji wa huduma za maji safi na nishati ya umeme.
Shigongo amewataka wananchi wa Buchosa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita kwa kumpa kura za ndiyo Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ifikapo Oktoba 29.