Uzinduzi wa kampeni dhidi ya rushwa Dar

MANILABHONA

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
462
348
Nikiwa mwathirika wa kampeni hizo, najiuliza itakuwaje. Zile minor tunazokusanya barabarani na kuwasilisha kwa OCS, OCCID, DTO, OCD, kwa maelekezo kuwa zinatakiwa mkoani kwa RTO na RPC ili waziwasilishe makao makuu, kwa IGP, Minor hizi hazina risiti wala bei maalum bali ni makubaliano kati yetu na wahalifu barabarani. Huziwasilisha katika bahasha mara nyingi mwisho wa siku na /au mwezi. Usipotekeleza agizo hilo kitengo unahamishwa. Sasa naona kama kaampeni hizi zitaathiri makusanyo, wengi tutaondolewa kwenye vitengo kwa kutofikisha lengo. Mmmhh mungu tusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom