Hivi huyu ni Nape kweli? Naanza kama kumuamini amini alipomkana huyu mtu wa JF kuwa sie yeye. National Spokesperson wa Chama Cha Mapinduzi hawezi kuruhusiwa kuja Jamii Forums ku post mipasho mipasho namna hii, sidhani kabisa.Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

hiyo ya kutoboa masikio imekaaje? Ametoboa kama mmasai au ile ya kuvaa kihereni???
hapo kwa ccm no..hawa jamaa wanajitembeza sana..tunategemea hiyo j3 kutapikwa pilau la ukwel...comed bila kukosa..wasanii wa kila aina.....cdm leo hapakuwa na burudani yoyote ile:lock1: Kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza kila kona kutafuta wateja....cdm and ccm respectively....!!!!
Mkuu kama kweli ni wewe umeandika huu upuuzi nimekushusha thamani sana.Nimekuwa nikifurahishwa sana na jinsi Mwigulu anavyojibu hoja za wanachadema hapa jamvini.Ningekushauri umuombe ushauri Mwigulu namna ya kujibu hoja.
nyie CDM mnachukua watu kutoka moshi na arusha then mnajifanya kupitisha michango kuwahadaa wana ARUMERU Dawa yenu ni kuwashtaki kwa wanaarumeru hapo ni ccm tu,hakuna rangi mtaacha onaAlafu mkiangalia picha vizuri, yani hapo wote ni wapiga kura. Pia hakuna aliyepewa Kofia wala Kanga! Na wote wamekuja kwa miguu yao! Hakuna malori hapa!