Uzinduzi rasmi M4C: Live toka Gold Crest - Mwanza (Kwa Kanda ya Ziwa)

Pamoja sana maana magamba yatakuwa yanapanga kuleta balaa tayari, yanapenda yazunguke zunguke pekeyao yamwage sumu.
 
Tanzania itakombolewa na watanzania wenyewe, kwa nguvu zao wenyewe, kwa senti mbila zao mpaka ukombozi wa kweli unapatikana.
 
OMUSILANGA M4C ni jembe wakuu tukubali yaishe, mimi nlikuwepo kwenye ile ya NAURA SPRINGS HOTEL pale Arusha it was so nice real
 
Last edited by a moderator:
Angalizo:
Kesho MC atawale ajue nini afanya kwa wakati fulani hatuhitaji kuona nasari sijui nani wanapanda pale mbele kuchukua mic kutangaza sijui juma katoa milioni 2 majina apewe mc ndo atangaze.

Hatuhitaji kusikia watu baki wanapanda jukwaani na kutangaza nitatoa sh ngapi na nitagombea jimbo gani sijui kama unatoa haina haja kujionyesha sisi tukuje mc atafanya kazi.

Imekuwa sifa kila mtu akichangia anataka kuuza sura.

Tunahitaji kujua M4C ya arusha ilipata sh ngapi
Ya dar tulitarajiwa kukusanya bilioni 5 siku ile zilipatika milioni 500 pamoja na ahadi je hizo bilioni 5 zimefika kama bado viongozi wanafanya nini kuendelea kuimiza wachangiaji watoe.

Pia ingewezekana kabla ya uzinduzi huo wa kesho tupewe michanganuo ya pesa zote zilizochangwa hii itasaidia nini
1.Kuongeza amani kwa wananchi
2.Watu waendelee kuchanga zaidi kujua pesa yao inatumika vizuri.

Nasikitika sana kuona zile gari za M4C usiku wa manane sehemu ambayo sio mnajenga picha gani kwa wananchi.

Transparency pekee ndo itakitafoutisha chadema na ccm vitu viweke wazi.

Pia salamu ziwafikie sijafurahishwa na piga ya wananchi ya majuzi wale vijana wawili mnajitofautisha vipi jamani adui yako leo kesho anaweza kuwa rafiki siasa hahitaji ugomvi wa kurushiana ngumi wala nini tungewatuliza tu nahisi kuna vijana wanajifanya ni wapenzi wa chadema lakini ni mapandikizi tu wa ccm.

All the best kwa kesho kumbukeni only transparency ndo itakipaisha chadema.

Fred kavishe
 
Usishangae Tanesco wakakata umeme kesho, ili watanzania wenye nia ya mabadiliko wasifuatilie kupitia Tv.

CCM wana wivu sana.
 
Back
Top Bottom