Uzinduzi campaign CCM-bodaboda wafurika petrol station Dar

Uzinduzi campaign CCM-bodaboda wafurika petrol station Dar

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Eti wanamuiga Lowassa kujazia bodaboda bure mafuta😉
 

Attachments

  • 1440331741186.jpg
    1440331741186.jpg
    19.2 KB · Views: 852
Hahahaahhsss kweli wamepaniki.....ngoja wakutane na Nguvu ya Umma
 
Mkuu ndio kawaida ya CCM. huku Zenji wanaoenda kwenye mikutano ya CCM wote mafuta bure
 
hata kama mie ningekua dereva bodaboda ningejaziwa tu ila langu rohoni..kura naipigia ukawa....ila kikwete alishasemaga ukitaka kula lazima nawe uliwee...ama veepee
 
Back
Top Bottom