Shaban mafwere
Member
- May 24, 2016
- 34
- 7
Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra
Mwenyew namshangaa ka mchawiKwahiyo umefurahii enh...
*HABARI NJEMA JUU YA KUZIMA SIMU FEKI* Hakuna simu inayozimwa bila kuminywa power button. Simu feki zote zitakosa mawasiliano..ila zitaendelea kuwaka kama kawaida Kwahyo bado utaweza tumia katika baadhi ya huduma kama *tochi*, *calculator* na kucheza *game*. Unaweza pia kuitumia kama silaha pindi mtu atakapokucheka unaweza mtupia ikamuumiza. Kwahiyo sio kweli kwamba simu yako itakosa huduma zote.Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra